All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,453
- 2,569
Tz kama tukiwa na utu na uafilifu hata kidogo tu tungekuwa mbali sanaJasho la watanzania limeshindwa kuleta maendeleo miaka 60 uhuru, itawezaje leo? Tatizo siyo kujitegemea tatizo ni ujamaa na kujitegemea ndiyo sera zilizofeli. Mnataka elimu ya bure, mnataka matibabu ya bure, mnataka miundo mbinu ijengwe, mnataka ajira serikalini, mnataka viinua mgongo na pensheni mkistaafu, mnataka majeshi makubwa, polisi wengi, mnataka serikali iwafanyie kila kitu, mnataka big government. Halafu mnazaliana kiholela kama sungura. Mtajitegemea vipi kwa hali hiyo?