Kamwe tusiaminishane upuuzi wa Wahuni! Nchi inajengwa na sisi

Kamwe tusiaminishane upuuzi wa Wahuni! Nchi inajengwa na sisi

Inawezekana kabisa washauri na actors mbalimbali ndani ya Serikali kwa sasa ni waamini wa mikopo. They might have good sweeter arguments for now.
Lakini wazalendo wa kweli tutabaki na msimamo wetu.
Ni upuuzi kutegemea walami kutuneemesha watanzania... Hii ni fallacy.

Jingalao atasimama daima kwenye Sera za kujitegemea na sio upuuzi mwingine.

Nilisimama kipindi cha JK, Magufuli na sasa Samia.

I will never change on this.
Nipo tayari tozo iongezwe kama inahitajika lakini si mikopo ya kuhuni!!!

Maendeleo yataletwa na jasho la watanzania and not otherwise tusidanganye,tusidanganywe na kamwe tusichekelee misimamo mibovu.

Nchi hii itajengwa,italindwa na kustawishwa na watanzania.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Zezeta wewe, mama Wala haitaji watetezi matahila Kama wewe
 
Umemaliza kila kitu, MAENDELEO YA NCHI YANALETWA KWA JASHO LA WANANCHI NA SIO FEDHA ZA MIKOPO
Sisi Watanganyika tunaweza lijiletea maendeleo sisi wenyewe,tatizo lipo kwa wala UROJO, ndo maana mzigo mkubwa wa mikopo unapelekwa huko
 
Back
Top Bottom