Kamwe: Ushindi wa Simba ni sawa na ushindi wa mke wa Hakimi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kwanza kabisa niwapongeze watani Kwa ushindi wa derby......nilikosa mechi kutokana na safari ya USA.....

.ALI KAMWE|+

[emoji860]"Ushindi wa Kolo naufananisha na ushindi wa mke wa Achraf Hakimi. Ameshinda kesi lakini mgao Nehi [emoji23].. Hivyo Kolo yoyote akikupigia kelele leo, mwambie Wewe huna tofauti na mke wa Hakimi,, Blaa blaa nyingi lakini wako palepale [emoji23]"

[emoji860]"Yanga tuko TOP OF THE TABLE na tutakwenda kuzimalizia mechi (4) za mwisho kwa nguvu kubwa zaidi INSHAA ALLAH"

[emoji860]"Kituo kinachofuata tunakwenda Nigeria. Mnawajua Wachezaji wetu, hii itakuwa mechi kubwa ya wao kupambana kuhakikisha tunashinda Mchezo huo na kuwapelekea Wananchi nusu fainali"

Je: tunakubaliana na hili na Lina maana gani????
IMG-20230416-WA0001.jpg
 
Kwanza kabisa niwapongeze watani Kwa ushindi wa derby......nilikosa mechi kutokana na safari ya USA.....

.ALI KAMWE|+

[emoji860]"Ushindi wa Kolo naufananisha na ushindi wa mke wa Achraf Hakimi. Ameshinda kesi lakini mgao Nehi [emoji23].. Hivyo Kolo yoyote akikupigia kelele leo, mwambie Wewe huna tofauti na mke wa Hakimi,, Blaa blaa nyingi lakini wako palepale [emoji23]"

[emoji860]"Yanga tuko TOP OF THE TABLE na tutakwenda kuzimalizia mechi (4) za mwisho kwa nguvu kubwa zaidi INSHAA ALLAH"

[emoji860]"Kituo kinachofuata tunakwenda Nigeria. Mnawajua Wachezaji wetu, hii itakuwa mechi kubwa ya wao kupambana kuhakikisha tunashinda Mchezo huo na kuwapelekea Wananchi nusu fainali"

Je: tunakubaliana na hili na Lina maana gani????View attachment 2592001
Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.

Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa Simba FC wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?

Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.

• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).

• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).

• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.

[emoji115] CHUNGU LAKINI NI DAWA (UKWELI).
 
Mkuu unabisha kuwa Yanga kachukua Makombe mengii
 
Mlikua mnataaamba kwamba mtamfunga mnyama mmekandwa ndo mnakuja kuona kuwa haina maana???.hahhaha
Sisi furaha yetu ni kukandwa kwenu ...mmmekandwaaaaaaa
Ubingwa chukueni ila kukandwa mmekandwa 2 kwa Nunge
Kibu ni muuaji

.hata kama diara anadaka mishale ......but sio Kwa extent ile [emoji23][emoji23]
 
Ally Kamwe ameonywa na Manara kuhusu swala hilo la kupiga polimilai

Mwenzake anadai anakuwaga na caution huwa haongei kiboya

Back
Top Bottom