Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

Aisifuye mvua imemnyea. Vijana kuna ka kujifunza hapa
 
Ukiona dalili tu, yatosha kupiga hatua 12 mbele then simama utazame anachofanya.

Wakati huo unamtazama, fanya maamuzi sahihi either kutulia au kutafuta kifaa kipya kabla ya maumivu.
 
Namsubili huyu wangu maana anajifanya anapromise feki kiukweli tu hana sifa hata moja yakua mke, ata nkipewa bure sikubali, leo pilau lazima liliwe liwe la harusi au la msiba wakuachana poa t nimejiandaa kisaikolojia
 
Well said 💪💪💪
 
Wanaume mumezidi kulia Lia muonewe huruma hivi mnafikiri nyie huwa hamtuumizi maishani, maana huwa tuna mwachia Mungu tu Tena nyie huwa mumejihalalishia kuumiza wanawake in the name of uanaume wenu, so relax haya ndio maisha and I hope umejifunza kujipenda kwanza wewe kuliko kumpenda mwingine asiyejua thamani yako
 
Hata sisi tunaachika vizuri tu ila tunalia vyumbani tukitoka nje tabasamu usoni kama kawaida na humu nyuzi hatuweki kihivyo kama nyie kutwa mnajiliza liza humu....
Kwa malalamiko haya tunaonekana Kama vikwampura kila siku! Itakuwa Kuna kitu mnakifanya si bure.. mkiingia kwenye Mapenzi mnatupa yote tunadata tunakamatika..
Na nyie kuacha ni kugusa tu hasa mkiona ubora kwa mwanaume mwengine unaona ya Nini kuling'ang'ania hili komamanga!..

Kiukweli viumbe wanawake nawapenda Sanaaa ila siwaamini..😎
 
Mambo mrembo..?
 
Dawa ya Mwanamke ni Mwanamke! Wale Mabaharia wamenisoma!!
 
Hii jinsia ya kike n complicated sana wakuu maana nlikuwa na nae mmoja hv alinishangaza sana alikuwa anapenda sana starehe out kila weekends, mzigo nilipewa kila napouhitaji anauleta mwnyw gheto, alikuwa mtumiaj mzur tu anabdil style za nywele kila week, bundle la 2,000 kila cku anashinda Instagram, alikuw anajpenda sana kwakwel ila sina uhakika km alkuw ananipend mm maana mwisho wa siku aliniacha ghafla kisa nilikuwa napenda sana kuvaa ndala za matairi [emoji23][emoji23][emoji23], nkamwomba sana samahan nkaacha na kuvaa mgogo ikawa mwendo wa viatu akanambia nkitaka nimsameh nimpe 150,000 hapo ndo nikagundua hii haikuwa kuhusu viatu tvwas something else nkaja chunguza nkagundua kmbe amepata jamaa ana wazfa pale VODACOM
 

Hypergamy Star_boy
 
Huu unaonekana ni msimu wa kuachana hapa jamii forums, toka msela wa manzese ale za uso kuna wana kibao nao wamepitiwa na upepo huu wa kuachwa kibabe. Leo tuko na C programming katika kikombe hiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume sijui huwa wanatuona hatuna akili mambo wanayotufanyia hafu mengi hufanya kusudi baadae anakuja na kuanza kulia Lia hovyo
 
Bado najiuliuza inawezekanaje kupenda mwanamke zaidi ya mmoja?
Nikipenda mwingine lazima wakwanza ajue simpendi tena maana upendo unahama labda kinafki tu ila Kama yuko makini lazima atambue nina mwanamke mwingine
Huwa tunajua tu hapa Kuna kitu Ila tunapiga kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…