Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

Naandika wosia huu kwa vijana wenzangu baada ya kupona maumivu ya kuachana na mwanamke niliempenda sana miezi Kadhaa iliopitaa ila kitu nilichojifunza mwanamke akionekana ameonesha dalili hakuhitaji tena .

Mwanamke akifikia hatua amekubadilikia na akaonesha dalili za kutaka kuachana na wewe ni bora ukubali matokeo mapema kabla haujafikia hatua ya suffering na stress kwani maumivu yake ni makali zaidi ukiwa ndani ya uhusiano kuliko njee ya uhusiano

Mwanamke akiwa hakuhitaji tena penzi utaliona chungu,dharau kibao,utaishi kwa stress huku ukijiwazia huyu kapata mwingine nini kwani atakutesa mnoo, kitu kidogo ugomvi, maneno

Ushauli wangu kwa vijana chonde chonde ukiona mabadiliko ya kitabia kwa mwanamke wako ambayo huyaelewi elewi zungumza nae ukiona haelekei kaa nae mbali,ikiwezekana mapema mnoo funga ukurasa kila mtu Asepe na maisha yake Nina mengi ya kusema
Aisifuye mvua imemnyea. Vijana kuna ka kujifunza hapa
 
Ukiona dalili tu, yatosha kupiga hatua 12 mbele then simama utazame anachofanya.

Wakati huo unamtazama, fanya maamuzi sahihi either kutulia au kutafuta kifaa kipya kabla ya maumivu.
 
Namsubili huyu wangu maana anajifanya anapromise feki kiukweli tu hana sifa hata moja yakua mke, ata nkipewa bure sikubali, leo pilau lazima liliwe liwe la harusi au la msiba wakuachana poa t nimejiandaa kisaikolojia
 
Naandika wosia huu kwa vijana wenzangu baada ya kupona maumivu ya kuachana na mwanamke niliempenda sana miezi Kadhaa iliopitaa ila kitu nilichojifunza mwanamke akionekana ameonesha dalili hakuhitaji tena .

Mwanamke akifikia hatua amekubadilikia na akaonesha dalili za kutaka kuachana na wewe ni bora ukubali matokeo mapema kabla haujafikia hatua ya suffering na stress kwani maumivu yake ni makali zaidi ukiwa ndani ya uhusiano kuliko njee ya uhusiano

Mwanamke akiwa hakuhitaji tena penzi utaliona chungu,dharau kibao,utaishi kwa stress huku ukijiwazia huyu kapata mwingine nini kwani atakutesa mnoo, kitu kidogo ugomvi, maneno

Ushauli wangu kwa vijana chonde chonde ukiona mabadiliko ya kitabia kwa mwanamke wako ambayo huyaelewi elewi zungumza nae ukiona haelekei kaa nae mbali,ikiwezekana mapema mnoo funga ukurasa kila mtu Asepe na maisha yake Nina mengi ya kusema
Well said 💪💪💪
 
Wanaume mumezidi kulia Lia muonewe huruma hivi mnafikiri nyie huwa hamtuumizi maishani, maana huwa tuna mwachia Mungu tu Tena nyie huwa mumejihalalishia kuumiza wanawake in the name of uanaume wenu, so relax haya ndio maisha and I hope umejifunza kujipenda kwanza wewe kuliko kumpenda mwingine asiyejua thamani yako
 
Hata sisi tunaachika vizuri tu ila tunalia vyumbani tukitoka nje tabasamu usoni kama kawaida na humu nyuzi hatuweki kihivyo kama nyie kutwa mnajiliza liza humu....
Kwa malalamiko haya tunaonekana Kama vikwampura kila siku! Itakuwa Kuna kitu mnakifanya si bure.. mkiingia kwenye Mapenzi mnatupa yote tunadata tunakamatika..
Na nyie kuacha ni kugusa tu hasa mkiona ubora kwa mwanaume mwengine unaona ya Nini kuling'ang'ania hili komamanga!..

Kiukweli viumbe wanawake nawapenda Sanaaa ila siwaamini..😎
 
Wanaume mumezidi kulia Lia muonewe huruma hivi mnafikiri nyie huwa hamtuumizi maishani, maana huwa tuna mwachia Mungu tu Tena nyie huwa mumejihalalishia kuumiza wanawake in the name of uanaume wenu, so relax haya ndio maisha and I hope umejifunza kujipenda kwanza wewe kuliko kumpenda mwingine asiyejua thamani yako
Mambo mrembo..?
 
Kwa malalamiko haya tunaonekana Kama vikwampura kila siku! Itakuwa Kuna kitu mnakifanya si bure.. mkiingia kwenye Mapenzi mnatupa yote tunadata tunakamatika..
Na nyie kuacha ni kugusa tu hasa mkiona ubora kwa mwanaume mwengine unaona ya Nini kuling'ang'ania hili komamanga!..

Kiukweli viumbe wanawake nawapenda Sanaaa ila siwaamini..[emoji41]
Dawa ya Mwanamke ni Mwanamke! Wale Mabaharia wamenisoma!!
 
Hii jinsia ya kike n complicated sana wakuu maana nlikuwa na nae mmoja hv alinishangaza sana alikuwa anapenda sana starehe out kila weekends, mzigo nilipewa kila napouhitaji anauleta mwnyw gheto, alikuwa mtumiaj mzur tu anabdil style za nywele kila week, bundle la 2,000 kila cku anashinda Instagram, alikuw anajpenda sana kwakwel ila sina uhakika km alkuw ananipend mm maana mwisho wa siku aliniacha ghafla kisa nilikuwa napenda sana kuvaa ndala za matairi [emoji23][emoji23][emoji23], nkamwomba sana samahan nkaacha na kuvaa mgogo ikawa mwendo wa viatu akanambia nkitaka nimsameh nimpe 150,000 hapo ndo nikagundua hii haikuwa kuhusu viatu tvwas something else nkaja chunguza nkagundua kmbe amepata jamaa ana wazfa pale VODACOM
 
Hypergamy Star_boy
 
Huu unaonekana ni msimu wa kuachana hapa jamii forums, toka msela wa manzese ale za uso kuna wana kibao nao wamepitiwa na upepo huu wa kuachwa kibabe. Leo tuko na C programming katika kikombe hiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata sio kweli, unaweza ukawa na mwanaume unampenda kwa dhati, na wala huna hata hisia za kumsaliti ila yeye akaanza kukufanyia vituko kumbe kaishakuchoka anakutafutia sababu, sasa kwa kuwa sisi ni watu wa hisia sana tunakuwa tumeshajua ukweli inabidi ujiondoe kimyakimya tu kuepusha malumbano.

Na hasa hasa hii hutokea pale mwanaume anapopata vijisenti mbuzi, anaona hee huyu wa kazi gani hanifai ngoja nitafute mpya, kasheshe ni pale vihela vilikiliwa na huyo mpya zikaisha halafu eti linarudi kwangu na mapumbuu tu, ndo siku hiyo utatamani ardhi ipasuke kitu nakufanyia siku hiyo[emoji57][emoji57]
Wanaume sijui huwa wanatuona hatuna akili mambo wanayotufanyia hafu mengi hufanya kusudi baadae anakuja na kuanza kulia Lia hovyo
 
Bado najiuliuza inawezekanaje kupenda mwanamke zaidi ya mmoja?
Nikipenda mwingine lazima wakwanza ajue simpendi tena maana upendo unahama labda kinafki tu ila Kama yuko makini lazima atambue nina mwanamke mwingine
Huwa tunajua tu hapa Kuna kitu Ila tunapiga kimya
 
Back
Top Bottom