Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Kamwe usije ukaiamini baadae ya kuonana salama ya mwanaume...
Mwanaume akiaga anaenda kutafuta, usiitafsiri kama anaenda kibaruani tu, uhalisia anaenda vitani either irudi pesa au maiti kwenye jeneza...
Ukimuona Baba yako anatoka asubuhi na jioni anarudi salama , muombee Dua ya kazini mengi..
Either awe Mume wako au kaka yako , mshukuru sana Mungu ukimuona jioni amerejea salama...
Nafikiri wanaume mnanielewa, hii wakina ANKO T haiwahusu, wapite tu...
Mwanaume akikupa ahadi, usimuombee aitimize muombee uhai wa kuipambania ahadi...
Hakuna binadamu anayemuonea huruma mwanaume, ukiwauliza wanasema eti huruma sio malezi...
Unaweza kuwa mwanaume, lakini sio kila mwanaume anaweza kuwa MWANAUME...