Kamwe! Usikate tamaa!

Kamwe! Usikate tamaa!

  • Je ni biashara gani?
  • Mtaji ulikuwa kiasi gani?, ambapo ukaanza na faida ya 5k , kisha ikawaa faida ni 12k kwa siku.
  • Je hilo eneo ulilofungulia biashara hakuna wengine wenye biashara kama yako? Kma wapo wengine je nini cha ziada ulifanya ili kuwavutia wateja?
Nilianza na 300,000/nilifungua genge la mazaga ya nyumban
Tofauti Yao na Mimi nilikuwa natafuta bidhaa kwenye msambazaji wa kwanza mara nyingi bidhaa ik8shapitia mikono mingi ya dalali Huwa Bei juu sana
Kwa hiyo nilikuwa naagiza nyanya Tenga Zima namuomba huyo anichangabyie mbichi kias ili niweze kuuza hata siku tatu bila nynya kuharibika
Pia nilikuwa nafungua mapema na kufunga usiku sana
Kitu kama parachichi nilikuwa naenda kusaka mwenyewe shambani au masoko ya matunda Kisha nauza Bei ndogo
Ila bidhaa ni nzuri na Bei ndogo
Mboga za majani nilikuwa nafuata kwenye bustani nanunua kabustan kazima navuna mwenyewe
ukilinganisha na jirani yangu
Pia nilikuwa na meza ya kuuza matunda yaliyokatwa
Kwa kila sahani buku
Matunda yanayovutia

NB
Kazi ya kuuza genge nilimpa msichana mmoja akawa anauza kama kawaida nikitoka job Mimi nakuja kumpokea yéye anaenda kupumzika ili kesho awahi kufungua.
 
sinikama wewe tuu unavyosema Kuna watu wanaingiza mamilioni kwasiku ila hujataja biashara wanazo fanya
Mkuu huyu muache
Inaonekana ana shida kichwani
Hata kama anasave milioni mia kwa siku
Hakuanza na hicho kias kupitia wadau na majukwaa mbali mbali kama jf alitiwa moyo na kusapotiwa kimawazo
 
Nilianza na 300,000/nilifungua genge la mazaga ya nyumban
Tofauti Yao na Mimi nilikuwa natafuta bidhaa kwenye msambazaji wa kwanza mara nyingi bidhaa ik8shapitia mikono mingi ya dalali Huwa Bei juu sana
Kwa hiyo nilikuwa naagiza nyanya Tenga Zima namuomba huyo anichangabyie mbichi kias ili niweze kuuza hata siku tatu bila nynya kuharibika
Pia nilikuwa nafungua mapema na kufunga usiku sana
Kitu kama parachichi nilikuwa naenda kusaka mwenyewe shambani au masoko ya matunda Kisha nauza Bei ndogo
Ila bidhaa ni nzuri na Bei ndogo
Mboga za majani nilikuwa nafuata kwenye bustani nanunua kabustan kazima navuna mwenyewe
ukilinganisha na jirani yangu
Pia nilikuwa na meza ya kuuza matunda yaliyokatwa
Kwa kila sahani buku
Matunda yanayovutia

NB
Kazi ya kuuza genge nilimpa msichana mmoja akawa anauza kama kawaida nikitoka job Mimi nakuja kumpokea yéye anaenda kupumzika ili kesho awahi kufungua.

Unapata wapi muda wa kwenda kufata maparachichi mashambani wakati umesema kabisa umeajiriwa .
Ukiwa muongo anatakiwa uwe na kumbukumbu dogo
 
Kazi yangu mwisho saa tisa
Kuanzia saa tisa Hadi Giza linaingia nakuwa eidha gengeni, au kutafuta bidhaa!
 
Unapata wapi muda wa kwenda kufata maparachichi mashambani wakati umesema kabisa umeajiriwa .
Ukiwa muongo anatakiwa uwe na kumbukumbu dogo
Hata hivyo nakuwa na off day
Naitumia kufanya nini?
Ndio muda natumia kujiongeza kiakili na kiuchumi
 
Yaani unaleta jambo public ambalo halipo kiuhalisia Unataka ukubaliwe tu.
Uongo ukisemwa sana na ukiachwa bila kupingwa unaonekana ni ukweli.
Embu jifunze kutunga story za kueleweka wewe junior motivational speaker
Bado una rizimu kichwani?
 
Hata hivyo nakuwa na off day
Naitumia kufanya nini?
Ndio muda natumia kujiongeza kiakili na kiuchumi
Nina akili za uchumi na biashara kulipo wewe Kwa jinsi ulivyoleta story yako.
Halafu Kwa taarifa yako sijawahi kusikia eti mkulima wa parachichi anamuuzia parachichi mfanyabiashara wa parachichi wa kwenye magenge.
Yaani wewe unauza parachichi kwenye genge la mtaani unaenda kununua parachichi moja Kwa moja shambani Kwa mkulima?
Hata njombe hawafanyi hivyo.
Nakwambia story yako ya uongo
 
Nisiponunua kwa mkulima moja kwa moja nanunua kwa mtu aliyetoka kwa mkulima
Hivyo ndivyo chain ya hizi biashara ndogo huenda,
Hata Kwa mkulima naweza kununua kwani kama mti wake una parachichi labda madebe 5 nikayachukua kwa 5000 kila debe
Nikija mjini nikauza parachichi 500 au 700 unajua napata sh ngapi?

Kwa watu waliokulia kwenye familia za kitajiri hawawezi kuelewa hii habari
 
Embu ficha upumbavu wako huko.
Hakuna mkulima wa parachichi anayeuza eti mti mmoja wa parachichi Kwa mfanyabiashara.
Huyo atakuwa sio mkulima wa parachichi ninaowajua Mimi.
Acha kujifanya unahamasisha watu Kwa fake story.
Muuza genge wa mjini hata Njombe mjini hawezi kwenda kununua parachichi moja Kwa moja Kwa mkulima
 
Mkulima anauza parachichi kwa nani!
Mimi nimezaliwa mwika ni Moshi vijijini
Ndo mfumo wetu wa kuuza parachichi
Tunauza kutumia ndoo tunaweka kwenye viroba siyo mwika tu hata rombo yote ndio mfumo wa kuuza parachichi

Uko uliko parachichi wanamuuzia msindikaji au
Nakushauri usibishe vitu usivyovijua broo
 
Embu ficha upumbavu wako huko.
Hakuna mkulima wa parachichi anayeuza eti mti mmoja wa parachichi Kwa mfanyabiashara.
Huyo atakuwa sio mkulima wa parachichi ninaowajua Mimi.
Acha kujifanya unahamasisha watu Kwa fake story.
Muuza genge wa mjini hata Njombe mjini hawezi kwenda kununua parachichi moja Kwa moja Kwa mkulima
Sorry broo
Una umri gan!?
Maana umekuwa kimwili Ila kifikra bado kinda!
 
Ukitaka ujue watu wengi wamechoka kimaisha we andika stori ya kufaniwa watapinga kwa nguvu zote, ile waridhishe ile hisia ya kuwa "tupo pamoja kwenye msoto"

Wengi wakipandishiwa mshahara nao wanapandisha mitindo ya maisha, hivyo ukileta stori ya kuonyesha discipline katika pesa, wanaona muujiza au chai.

Hongera mkuu.
 
Back
Top Bottom