Kamwe usikubali kuhatarisha maisha ya mtoto kwa kumpandisha bodaboda, wengi hawajielewi

shenzii

Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
66
Reaction score
203
Leo nimejikuta napata ghadhabu sana na nikasema lazima niteme nyongo. Yani asubuhi asubuhi na hili baridi unakuta kitoto kidogo cha chekechea kimepandishwa boda eti kinaenda shule.

Yani wewe unaenda kugombania daladala halafu dogo under 5 unarisk maisha yake. Mbaya zaidi boda kavaa mkoti mkubwa ila dogo kavaa au hajavaa hata sweta halafu anawekwa mbele kama ngao ya boda shenzi type. Wazazi kuweni na huruma basi na watoto wenu boda wengi ni wehu.

Yani unampandisha mtoto boda halafu we na likitambi lako unaenda kugombania daladala hupigwi hata na upepo unakera hasa hao watoto wanaopita main road wakiendeshwa na hawa vishandu. Tafadhali usihatarishe maisha ya huyo mtoto hivyo kama, ulikuwa humhitaji usingemzaa.

Waziri Dkt. Gwajima D kama na wewe unaingia JF na unaiona hii naomba wizara yako ilishughulikie hili, hatutakubali watoto wetu wapate ulemavu mapema au kupotea kabisa nimemaliza kwa uzembe wa baadhi ya wazazi na boda

Nb: No excuses will be tolerated

Shenziiii
 
Kuna wale wanapakiwa mishkaki kama vitoto vitano hivi, halafu boda anatembelea ule mstari wa katikati oyaa!
Hawa ndo wehu afu akiswaweka na kisingeli anaona yupo kwenye range
 
Leo nimejikuta napata ghadhabu sana na nikasema lazima niteme nyongo. Yani asubuhi asubuhi na hili baridi unakuta kitoto kidogo cha chekechea kimepandishwa boda eti kinaenda shule.

Yani wewe unaenda kugombania daladala halafu dogo under 5 unarisk maisha yake. Mbaya zaidi boda kavaa mkoti mkubwa ila dogo kavaa au hajavaa hata sweta halafu anawekwa mbele kama ngao ya boda shenzi type. Wazazi kuweni na huruma basi na watoto wenu boda wengi ni wehu.

Yani unampandisha mtoto boda halafu we na likitambi lako unaenda kugombania daladala hupigwi hata na upepo unakera hasa hao watoto wanaopita main road wakiendeshwa na hawa vishandu. Tafadhali usihatarishe maisha ya huyo mtoto hivyo kama, ulikuwa humhitaji usingemzaa.

Waziri Dkt. Gwajima D kama na wewe unaingia JF na unaiona hii naomba wizara yako ilishughulikie hili, hatutakubali watoto wetu wapate ulemavu mapema au kupotea kabisa nimemaliza kwa uzembe wa baadhi ya wazazi na boda

Nb: No excuses will be tolerated

Shenziiii
Mbaya zaidi unaona kitoto kinasinzia. Nafikiri kisheria mtoto chini ya miaka 9 au 11 (sina uhakika) haruhisiwi kupanda pikipiki.
 
Ni hatari sana na kwanini wasisome shule karibu na majumbani na hii tabia
 
Back
Top Bottom