Kamwe usilipize kisasi kwa mtu awaye yote

Kamwe usilipize kisasi kwa mtu awaye yote

!
Kumbe mko wengi msioamini uwepo wa maisha baada ya haya. (Kiyama ya wafu).
Hakuna maisha mengine baada ya haya.

Kama kuna maisha mengine baada ya haya, Kufa basi uende kwenye hayo maisha yajayo!

Kwa nini kila siku unaomba uzima kwenye maisha hayahaya ya duniani?

Kwa nini usife, uwahi kwenye hayo maisha mengine huko?
 
My sister dunia haitaki watu regevu kila kitu unakiacha tu et Mungu atanilipa. Rejea law of natural selection
Maneno kuntu sana.

Ukiwa mnyonge kuna mtu ataleta mabaunsa kubomoa nyumba yako mchana kweupe, huku akiwa na hati feki ama hukumu feki ya mahakama mkononi. Utaanza kulala nje na familia kisa unyonge.

Dawa ni jino kwa jino
 
Back
Top Bottom