Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mimi sina Mungu wa aina yeyote ile.Hapo kwenye kusema kwamba huyo Mungu wetu tayari nimekuelewa mkuuš¤
Naona huyo mungu wako anahubiri visasi, Basi endelea utavuna ulichopanda na usisahau
Wewe wasema, lakini faida za kusamehe ni nyingi zaidi ya kutosamehe
Mungu ni wa kwenu nyie, waamini Mungu.
Nimekuuliza swali, Mungu wenu huyo analipiza kisasi, ilhali kila siku mnamuhubiri ni Mungu mwema, mwenye upendo kwa watu wake?