Kamwe usilipize kisasi kwa mtu awaye yote

Kamwe usilipize kisasi kwa mtu awaye yote

Mimi sio mtoto mkuu nakuheshimu usitake tuvunjiane heshima hakuna ulipoona nimekuvaa na kukuongelea mbovu sasa hapo ndio ujue mimi na wewe nani mtoto ukikua utaacha kuparamia wakubwa
Utoto wako upo wazi kwenye kile uwazacho, unaandika mambo ya kitoto huku ikitumia lugha zisizo za kistaarabu so utoto wako unauweka wazi wewe mwenyewe.
 
Utoto wako upo wazi kwenye kile uwazacho, unaandika mambo ya kitoto huku ikitumia lugha zisizo za kistaarabu so utoto wako unauweka wazi wewe mwenyewe.
Wewe ni hamnazo halafu huwa sipendi kufanya mjadala na wajinga wapuuzi punguani wapumbavu mazumbukuku vichwa panzi wasio jielewa wajuaji wajuaji yaan kujifanya wao kila kitu wanakijua yaan inafika hatua mtu natumia fake ID but unachukulia as if unanijua physically haya sasa pita hivi sipendi discussions na mazuzu zwazwa chapa raba
 
Yote uliyoorodhesha ni mambo yako ya kitoto na yanafanana nawe ni ni chapa yako kabisa... siku Ukikua utaacha utoto.
 
Hao unaowaona werevu kwa kigezo cha kutosamehe ndiyo wajinga hasaa a! Kuweza kusamehe it mean Kuna nguvu kubwa ndani yako inayokuwezesha kuendesha hisia zako, kuwa na mipaka na mamlaka binafsi ya kutawala maamuzi ufanyayo.

Kutosamehe ni udhaifu mkubwa Sana.
Kutosamehe ni udhaifu ila aliyekumiza ndio Shujaaa? Toa ujinga hapa.
 
Moja ya sababu ya kuwachoma moto itakuwa ni hiyohiyo ya kutotii agizo la kusamehe. Hivyo fuata kanuni na jitahidi tu kusamehe kama wewe unavyosamehewa.
Kutotii agizo la kusamehe !!! wakati huyo Mungu mwenyewe atashindwa kutusamehe ?

Kama tunapaswa kusamehe mbona Daudi hakumsamehe Goliath, Mbona Mungu hakumsamehe shetani ?
 
Je umedhurumiwa mpenzi au umeibiwa hela au kudanganywa kwa lolote na mpenzi wako? Kama jibu ni ndiyo basi nakushauri ukae kwa kutulia na usipange kulipa kisasi.

Siku zote kulipiza kisasi kamwe sio jibu. Ikiwa huwezi kusamehe, basi sahau.

Ukikomaa kulipa kisasi basi kabla ya kulipiza kisasi, chimba makaburi mawili - moja lako mwenyewe na lingine la huyo uliyempania kwa kisasi.

Unapolipiza kisasi, jambo moja husababisha jingine hatimaye
Kukuletea majuto.

Mahatma Gandhi alisema.. “An eye for an eye will only make the whole world blind.”

Kisasi ni udhaifu mkubwa. Kusamehe kutakufanya uwe mwenye nguvu. Kulipiza kisasi ni kujiangamiza. Unachopanda kinarudi kwako mwenyewe.

When someone hurts you, move on. Don’t let them know they hurt you. Don’t react. Be happy. Hurt them by succeeding. Success is the best revenge. Living well is the best revenge.

Usilipe ubaya kwa ubaya.
Kufurahi ukiwa umeumizwa vibaya ni ngumu sana, huwezi kujizuia kuumia Ila watu tunatofautiana endurance.

Mim mtu akinipiga tukio, jinsi nitakavyobadilika kila mtu ambaye ambaye ni mtu wangu wa karibu, atajua nimepigwa na kitu kizito, Ila huwezi kujua ni kitu gani, kwasababu hata ungejaribu kunichimba vipi Wala usingepata chochote.

Huwa inachukua siku kadhaa kukubali matokeo. Ila kulipiza hapana aisee, nimeumbwa hvyo, Bora nikwambie ukweli ujue ulizingua. Nikiona hatuendani, Wala hatutakuwa na ukaribu.
 
Back
Top Bottom