Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Kisasi ni laana,,acha mbingu iseme yenyewe juu ya watesi wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni ukristo 100%Je umedhurumiwa mpenzi au umeibiwa hela au kudanganywa kwa lolote na mpenzi wako? Kama jibu ni ndiyo basi nakushauri ukae kwa kutulia na usipange kulipa kisasi.
Siku zote kulipiza kisasi kamwe sio jibu. Ikiwa huwezi kusamehe, basi sahau.
Ukikomaa kulipa kisasi basi kabla ya kulipiza kisasi, chimba makaburi mawili - moja lako mwenyewe na lingine la huyo uliyempania kwa kisasi.
Unapolipiza kisasi, jambo moja husababisha jingine hatimaye
Kukuletea majuto.
Mahatma Gandhi alisema.. “An eye for an eye will only make the whole world blind.”
Kisasi ni udhaifu mkubwa. Kusamehe kutakufanya uwe mwenye nguvu. Kulipiza kisasi ni kujiangamiza. Unachopanda kinarudi kwako mwenyewe.
When someone hurts you, move on. Don’t let them know they hurt you. Don’t react. Be happy. Hurt them by succeeding. Success is the best revenge. Living well is the best revenge.
Usilipe ubaya kwa ubaya.
Hao unaowaona werevu kwa kigezo cha kutosamehe ndiyo wajinga hasaa a! Kuweza kusamehe it mean Kuna nguvu kubwa ndani yako inayokuwezesha kuendesha hisia zako, kuwa na mipaka na mamlaka binafsi ya kutawala maamuzi ufanyayo.Ni mzuri kwa wanaohendekeza ujinga.
Ndiyo mkuu, mkinipenda mtazishika amri zangu.Huu
Huu ni ukristo 100%
Endelea kutosamehe na kujiona gwiji wa kulipiza visasi, utavuna upandacho🤣🤣Biblia inasema"
Kutoka 21:24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu." Mimi nilipata nafasi ya kulipa kisasi lazima nikilipe,elewa neno nafasi .
Na kwa Nini ushindwe kusamehe?Na ukishindwa kusamehe lipa kisasi
Kwa hiyo huyo Mungu ana visasi?Imeandikwa; “Yeye arudishaye mabaya badala ya mema, mabaya hayataondoka nyumbani mwake”
Soma Mithali: 17:13
Yani matatizo yatakuwa yanapandiana tu, likitoka hili linakuja hili.
Yani matatizo yanakuwa ni life style yake.
Visasi tumwachie Mungu kama unataka mabaya yakuepuke.
Hiyo ndio kanuni.
Na Mungu ana njia zake za kuwanyoosha wanaokufanyia mabaya ambapo anajua kuwabaruza vibaya sana.
Huyo Mungu wenu mwenyewe Alishindwa kumsamehe shetani, Sasa wewe ni nani unahubiria watu wawe wanasamehe?Na kwa Nini ushindwe kusamehe?
Je huwezi kuziendesha hisia zako?
Je wewe ni wa kupelekeshwa tu na kila kinachokujia kichwani mwako bila kuchuja?
Je wewe huwa haukosei?
Vipi hivyo visasi ikitokea vikakurudia kwa watoto wako huko mbeleni?
Ukijizoeza kufanya reasoning utakuwa mtu mwenye nguvu sana rohoni.
Adui unayemuweza usimwachie Mungu...😀
Kwa hiyo huyo Mungu ana visasi?
Huyo Mungu wenu mwenyewe Alishindwa kumsamehe shetani, Sasa wewe ni nani unahubiria watu wawe wanasamehe?
Huyo Mungu wenu Alishindwa kufanya reasoning ya kumsamehe shetani badala yake akamtupa duniani aje asumbue watu!!!😄
Even your God lack reasoning and critical thinking..!!
Duniani hakuna cha msamaha.
Ni ubaya ubaya..
Hapo kwenye kusema kwamba huyo Mungu wetu tayari nimekuelewa mkuu🤔Huyo Mungu wenu mwenyewe Alishindwa kumsamehe shetani, Sasa wewe ni nani unahubiria watu wawe wanasamehe?
Huyo Mungu wenu Alishindwa kufanya reasoning ya kumsamehe shetani badala yake akamtupa duniani aje asumbue watu!!!😄
Even your God lack reasoning and critical thinking..!!
Duniani hakuna cha msamaha.
Ni ubaya ubaya..
Wewe wasema, lakini faida za kusamehe ni nyingi zaidi ya kutosameheWeeeh..kisasi muhimu weee
Hahaha Baba bora umesema wewe Baba nani? Usinipangie cha kujaza kichwani mwangu wewe domo zegwe timbuloMwanaume mwenye akili kama zako hawezi kuwa baba bora wa kuongoza familia, umejaza ujinga mwingi kwa kichwa chako.
Kingine ukiona namna gani ignore comments zanguMwanaume mwenye akili kama zako hawezi kuwa baba bora wa kuongoza familia, umejaza ujinga mwingi kwa kichwa chako.
Ukikua utaacha utotoHahaha Baba bora umesema wewe Baba nani? Usinipangie cha kujaza kichwani mwangu wewe domo zegwe timbulo
Mimi sio mtoto mkuu nakuheshimu usitake tuvunjiane heshima hakuna ulipoona nimekuvaa na kukuongelea mbovu sasa hapo ndio ujue mimi na wewe nani mtoto ukikua utaacha kuparamia wakubwaUkikua utaacha utoto