Kamwe usilipize kisasi kwa mtu awaye yote

Kamwe usilipize kisasi kwa mtu awaye yote

Huu
Je umedhurumiwa mpenzi au umeibiwa hela au kudanganywa kwa lolote na mpenzi wako? Kama jibu ni ndiyo basi nakushauri ukae kwa kutulia na usipange kulipa kisasi.

Siku zote kulipiza kisasi kamwe sio jibu. Ikiwa huwezi kusamehe, basi sahau.

Ukikomaa kulipa kisasi basi kabla ya kulipiza kisasi, chimba makaburi mawili - moja lako mwenyewe na lingine la huyo uliyempania kwa kisasi.

Unapolipiza kisasi, jambo moja husababisha jingine hatimaye
Kukuletea majuto.

Mahatma Gandhi alisema.. “An eye for an eye will only make the whole world blind.”

Kisasi ni udhaifu mkubwa. Kusamehe kutakufanya uwe mwenye nguvu. Kulipiza kisasi ni kujiangamiza. Unachopanda kinarudi kwako mwenyewe.

When someone hurts you, move on. Don’t let them know they hurt you. Don’t react. Be happy. Hurt them by succeeding. Success is the best revenge. Living well is the best revenge.

Usilipe ubaya kwa ubaya.
Huu ni ukristo 100%
 
Na ukishindwa kusamehe lipa kisasi
Na kwa Nini ushindwe kusamehe?
Je huwezi kuziendesha hisia zako?
Je wewe ni wa kupelekeshwa tu na kila kinachokujia kichwani mwako bila kuchuja?

Je wewe huwa haukosei?

Vipi hivyo visasi ikitokea vikakurudia kwa watoto wako huko mbeleni?

Ukijizoeza kufanya reasoning utakuwa mtu mwenye nguvu sana rohoni.
 
Imeandikwa; “Yeye arudishaye mabaya badala ya mema, mabaya hayataondoka nyumbani mwake”

Soma Mithali: 17:13

Yani matatizo yatakuwa yanapandiana tu, likitoka hili linakuja hili.
Yani matatizo yanakuwa ni life style yake.

Visasi tumwachie Mungu kama unataka mabaya yakuepuke.
Hiyo ndio kanuni.
Na Mungu ana njia zake za kuwanyoosha wanaokufanyia mabaya ambapo anajua kuwabaruza vibaya sana.
Kwa hiyo huyo Mungu ana visasi?
 
"Na mkilipiza basi lipizeni sawa na vile mlivyo adhibiwa. Na ikiwa mtasubiri, basi hakika hivyo ni bora zaidi kwa wanao subiri."

Mimi sina subira hivyo nitalipiza
 
Na kwa Nini ushindwe kusamehe?
Je huwezi kuziendesha hisia zako?
Je wewe ni wa kupelekeshwa tu na kila kinachokujia kichwani mwako bila kuchuja?

Je wewe huwa haukosei?

Vipi hivyo visasi ikitokea vikakurudia kwa watoto wako huko mbeleni?

Ukijizoeza kufanya reasoning utakuwa mtu mwenye nguvu sana rohoni.
Huyo Mungu wenu mwenyewe Alishindwa kumsamehe shetani, Sasa wewe ni nani unahubiria watu wawe wanasamehe?

Huyo Mungu wenu Alishindwa kufanya reasoning ya kumsamehe shetani badala yake akamtupa duniani aje asumbue watu!!!😄

Even your God lack reasoning and critical thinking..!!

Duniani hakuna cha msamaha.

Ni ubaya ubaya..
 
Adui unayemuweza usimwachie Mungu...😀
GXOW12NWkAASD6D.jpeg
 
Kutokulipa kisasi ni kwa wenye Imani kwa Mwenyezi Mungu. Ila ambao hawana imani kwake wajifunze kwa kitabu Cha Prince Machiavelli na Autobiography ya Brother Malcom X baada ya kutoka Gerezani au Kwa Samson mwana wa manoa, nywele zilipoota tena 😂😂😂
 
Huyo Mungu wenu mwenyewe Alishindwa kumsamehe shetani, Sasa wewe ni nani unahubiria watu wawe wanasamehe?

Huyo Mungu wenu Alishindwa kufanya reasoning ya kumsamehe shetani badala yake akamtupa duniani aje asumbue watu!!!😄

Even your God lack reasoning and critical thinking..!!

Duniani hakuna cha msamaha.

Ni ubaya ubaya..

Wewe ni dugu moja na ndugu Kilanga?
 
Huyo Mungu wenu mwenyewe Alishindwa kumsamehe shetani, Sasa wewe ni nani unahubiria watu wawe wanasamehe?

Huyo Mungu wenu Alishindwa kufanya reasoning ya kumsamehe shetani badala yake akamtupa duniani aje asumbue watu!!!😄

Even your God lack reasoning and critical thinking..!!

Duniani hakuna cha msamaha.

Ni ubaya ubaya..
Hapo kwenye kusema kwamba huyo Mungu wetu tayari nimekuelewa mkuu🤔

Naona huyo mungu wako anahubiri visasi, Basi endelea utavuna ulichopanda na usisahau
Weeeh..kisasi muhimu weee
Wewe wasema, lakini faida za kusamehe ni nyingi zaidi ya kutosamehe
 
Back
Top Bottom