Kamwe usilipize kisasi kwa mtu awaye yote

Kamwe usilipize kisasi kwa mtu awaye yote

Moja ya sababu ya umaskini ktk Nchi zetu ni kuhendekeza misamaha kwa Wala Rushwa na Mafisadi.

Mtu anakula hela ya umeme wa Mikoa mitatu. Na anaachwa
Sahihi kabisa,
China wana sheria kali za wala rushwa na wahujumu uchumi,ndio maana wanaendelea,

Kusamehe ni dalili ya unyonge na kutokujitambua.
 
Moja ya sababu ya umaskini ktk Nchi zetu ni kuhendekeza misamaha kwa Wala Rushwa na Mafisadi.

Mtu anakula hela ya umeme wa Mikoa mitatu. Na anaachwa
Kama kuna ushahidi hawezi kuachwa sheria itamhukumu mahakamani
 
Hayajakukuta....hiii mindset utaiacha.

Kamwibia Mo kazini kwake hata laki mbili tu uoen kama ofsini utabaki.

Then uje utwambie kisasi ni udhaifu
Wizi unaoshughurikiwa kisheria hicho sio kisasi ndugu.
 
Kisasi ni muhimu ndomana hata Mungu anakisasi na shetani pia na binadamu maana moto usiozimika nikisasi kwaajili ya shetani na wafuasi wake waloasi sheria zake ,, kisasi ni kumlipa ubaya aliekutendea mabaya iwe kukuasi n.k,adui unayemuweza usimwachie Mungu atakuona fala na dhaifu na ndomana Israel rolmodel wenu hacheki na adui ni kulipua tu
 
Huu wa bila kuupanga unajulikana na unakuwaga wazi.

Mfano mtu anakuja kukupora Shamba lako na wala halijawahi kuw lake. Aka team na mashahidi wa uongo mwisho anafanikiwa kubeba Nyumba yako.

Huo ni bahati mbaya?
Hapana, na huyu akilipiwa kisasi anakuwa yeye ndio mbaya mkuu.

Sema kuna gepu hapo kwenye watu kujisemea kwamba mkosaji alidhamiria kukosea. Kumpatia bad intention wakati mwingine tunawahukumu kimakosa. Hatua nzuri ni kumsikiliza kutokea upande wake ili ujiridhishe kwamba kweli amedhamiria.

Kwenye mfano wako wa shamba unaweza kukuta yeye anaamini bibi yake alidhulumiwa na yupo pale KURUDISHA na sio kudhulumu. Hapo itakuwaje?
 
Ukishindwa kusamehe lipa kisasi
Nilikuwa najiuliza mshana jr hajaweka comment finally, jibu zuri inategemea na uzani, kama unaona ina reasonate na kisasi unalipa tu same na kusamehe.
 
Kwenye mfano wako wa shamba unaweza kukuta yeye anaamini bibi yake alidhulumiwa na yupo pale KURUDISHA na sio kudhulumu. Hapo itakuwaje?
Hahahaa.....ulishawahi kununua Kiwanja ukakuta muuzaji kakiuza kwa mtu mwingine tena? Yaani mtu mmoja anauzia watu wawili? Is that intentional or unfortune?
Umejipinda unakula ugali na maharage watoto wanasoma Kayumba umenunua kiwanja mtu mmoja mjeuri amekufanyia haya.
 
Mungu mwenyewe alisema kisasi ni juu yake sasa wewe ni nani uingilie majukumu ya Mungu?
Alisema kisasi gani? Mbona Wayahudi aliwatandika mikononi mwa Nebkadneza?

Enzi za Wayahudi Ilikuwa jino kwa jino.

Yanini wewe unikatw mkono kwa panga huku ukijua ila mimi nikikulima mkuki mguuni unione mbaya?
 
Back
Top Bottom