Kamwe usilipize kisasi kwa mtu awaye yote

Kamwe usilipize kisasi kwa mtu awaye yote

Ukishindwa kusamehe lipa kisasi
Na ukishindwa kulipa kisasi samehe
 
Je umedhurumiwa mpenzi au umeibiwa hela au kudanganywa kwa lolote na mpenzi wako? Kama jibu ni ndiyo basi nakushauri ukae kwa kutulia na usipange kulipa kisasi.

Siku zote kulipiza kisasi kamwe sio jibu. Ikiwa huwezi kusamehe, basi sahau.

Ukikomaa kulipa kisasi basi kabla ya kulipiza kisasi, chimba makaburi mawili - moja lako mwenyewe na lingine la huyo uliyempania kwa kisasi.

Unapolipiza kisasi, jambo moja husababisha jingine hatimaye
Kukuletea majuto.

Mahatma Gandhi alisema.. “An eye for an eye will only make the whole world blind.”

Kisasi ni udhaifu mkubwa. Kusamehe kutakufanya uwe mwenye nguvu. Kulipiza kisasi ni kujiangamiza. Unachopanda kinarudi kwako mwenyewe.

When someone hurts you, move on. Don’t let them know they hurt you. Don’t react. Be happy. Hurt them by succeeding. Success is the best revenge. Living well is the best revenge.

Usilipe ubaya kwa ubaya.
Ujumbe mzuri kabisa huu.
 
Imeandikwa; “Yeye arudishaye mabaya badala ya mema, mabaya hayataondoka nyumbani mwake”

Soma Mithali: 17:13

Yani matatizo yatakuwa yanapandiana tu, likitoka hili linakuja hili.
Yani matatizo yanakuwa ni life style yake.

Visasi tumwachie Mungu kama unataka mabaya yakuepuke.
Hiyo ndio kanuni.
(Na Mungu ana njia zake) (za kuwanyoosha) (wanaokufanyia mabaya) ambapo anajua kuwabaruza) vibaya sana.)
 
Wengi wako jera sababu hawakutaka kusamehe walowakosea.
Wengi wanaozea jera sababu ya kuamua kufanyia watu visasi.
Unaweza usiwe jera lakini ukapata mikwamo ya maisha kwenye aspects mbalimbali na wanao sababu umefanyia Watu visasi.
Kufanya kisasi ni kuongeza tatizo.
Kheri kusamahe na kuachilia kisha kujiweka mbali na mkosaji ili asirudie kukuumiza tena
 
Lakini hii hadi uwe na ufahamu wa Neno la Mungu.
Imagine umdhuru mtu Eti sababu ya wivu wa mapenzi!
Real?!
Wanawake walivyo chungu nzima kila siku wanazaliwa.
Tena siku hizi wako cheap sana ktk kuwapata.
Kama ni Hela żako uliwekeza Hela nyingi Hela zinatafutwa utapata nyingine hata kama sio rahisi lakini kuliko kwenda kuishia jera au kujiua.
Halafu Kwanini uwe fala kuhonga wanawake wewe 😳😳
 
Biblia inasema"
Kutoka 21:24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu." Mimi nilipata nafasi ya kulipa kisasi lazima nikilipe,elewa neno nafasi .
 
Kuhonga wanawake ni ufala hata kama Mwanaume una hela.
Ni ulimbukeni.
Nyie mkikutana kuleni vizuri aagize chochote hata Heineken, kunyweni hata vya bei lakini Hela ya kununua Sijui nini nooooo
 
Je umedhurumiwa mpenzi au umeibiwa hela au kudanganywa kwa lolote na mpenzi wako? Kama jibu ni ndiyo basi nakushauri ukae kwa kutulia na usipange kulipa kisasi.

Siku zote kulipiza kisasi kamwe sio jibu. Ikiwa huwezi kusamehe, basi sahau.

Ukikomaa kulipa kisasi basi kabla ya kulipiza kisasi, chimba makaburi mawili - moja lako mwenyewe na lingine la huyo uliyempania kwa kisasi.

Unapolipiza kisasi, jambo moja husababisha jingine hatimaye
Kukuletea majuto.

Mahatma Gandhi alisema.. “An eye for an eye will only make the whole world blind.”

Kisasi ni udhaifu mkubwa. Kusamehe kutakufanya uwe mwenye nguvu. Kulipiza kisasi ni kujiangamiza. Unachopanda kinarudi kwako mwenyewe.

When someone hurts you, move on. Don’t let them know they hurt you. Don’t react. Be happy. Hurt them by succeeding. Success is the best revenge. Living well is the best revenge.

Usilipe ubaya kwa ubaya.
Sister kumbuka wahenga akina Isaac Newton, walishasema kwamba "To every action there is an equal and opposite reaction". Hivyo ubaya ubwela na ubwela ubaya
 
Biblia inasema"
Kutoka 21:24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu." Mimi nilipata nafasi ya kulipa kisasi lazima nikilipe,elewa neno nafasi .

Haina shida ilimradi mwisho wa siku atakaewajibika kwa matendo yake ni mwenye kuyafanya .
Hiyo Mbona haina shida kwa sie wenye kuishi kwa kumtegemea Mungu.

You have a liberty to choose wisely decision to make but you have no liberty to choose or avoid the consequences connected to the decision that you have made.
The World is connected.
 
Unaweza kuchagua kuamua vyovyote lakini matokeo yatokanayo na maamuzi ulofanya huwezi kuyachagua wala kuyakwepa.
Hivyo ndivyo asili ilivyo ya uumbaji na Ulimwengu.
Unaweza kwa mfano ukaamua kuwa usile Chakula Mwaka mzima ni Sawa kabisa , lakini matokeo ya wewe kutokula huwezi kuyaepuka kabla hata huo Mwaka kuisha.
Hiyo ndio asili na Siri ya uumbaji anaijua Mungu.
Sasa wewe shindana na asili usile Chakula Mwaka mzima Halafu uone hata robo Mwaka kama utafika.
Ndugu zangu Ulimwengu huu umeratibiwa na Muumbaji mwenyewe.
Gari ili uitumie kwa miaka mingi kwa usalama fuata maelekezo ya mwenye kuitengeza Yaani Maker.
 
Back
Top Bottom