Optimist_Tz JF-Expert Member Joined Jan 11, 2024 Posts 1,543 Reaction score 1,860 Oct 5, 2024 #181 Infropreneur said: Hapana. Click to expand... ! Kumbe mko wengi msioamini uwepo wa maisha baada ya haya. (Kiyama ya wafu).
Infropreneur said: Hapana. Click to expand... ! Kumbe mko wengi msioamini uwepo wa maisha baada ya haya. (Kiyama ya wafu).
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 9,830 Reaction score 20,686 Oct 5, 2024 #182 Optimist_Tz said: ! Kumbe mko wengi msioamini uwepo wa maisha baada ya haya. (Kiyama ya wafu). Click to expand... Hakuna maisha mengine baada ya haya. Kama kuna maisha mengine baada ya haya, Kufa basi uende kwenye hayo maisha yajayo! Kwa nini kila siku unaomba uzima kwenye maisha hayahaya ya duniani? Kwa nini usife, uwahi kwenye hayo maisha mengine huko?
Optimist_Tz said: ! Kumbe mko wengi msioamini uwepo wa maisha baada ya haya. (Kiyama ya wafu). Click to expand... Hakuna maisha mengine baada ya haya. Kama kuna maisha mengine baada ya haya, Kufa basi uende kwenye hayo maisha yajayo! Kwa nini kila siku unaomba uzima kwenye maisha hayahaya ya duniani? Kwa nini usife, uwahi kwenye hayo maisha mengine huko?
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Oct 5, 2024 #183 Oppo A17k said: My sister dunia haitaki watu regevu kila kitu unakiacha tu et Mungu atanilipa. Rejea law of natural selection Click to expand... Maneno kuntu sana. Ukiwa mnyonge kuna mtu ataleta mabaunsa kubomoa nyumba yako mchana kweupe, huku akiwa na hati feki ama hukumu feki ya mahakama mkononi. Utaanza kulala nje na familia kisa unyonge. Dawa ni jino kwa jino
Oppo A17k said: My sister dunia haitaki watu regevu kila kitu unakiacha tu et Mungu atanilipa. Rejea law of natural selection Click to expand... Maneno kuntu sana. Ukiwa mnyonge kuna mtu ataleta mabaunsa kubomoa nyumba yako mchana kweupe, huku akiwa na hati feki ama hukumu feki ya mahakama mkononi. Utaanza kulala nje na familia kisa unyonge. Dawa ni jino kwa jino