Good-bye
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 1,085
- 1,812
Am 40sVitoto kama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am 40sVitoto kama wewe
Wala Msela asijali, ni Shetani tu kampitia kumchukua mke wake, akimalizana naye atamuacha huyo mwanamke na atarudi mwenyewe na kuendelea na maisha yao kama wali.Kwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Kapeleka kwa kibwana kinachomsugua huku DubaiKaiba Tsh 1.5m , huyo mwanamke siyo mrembo, mke unamwachia mpak ,40Million , mnaishi fresh tuu
hapo maana yake kakomba akiba yote iliyokuwa bank[emoji3]Katoa 1.5 M tu alafu katoroka?? Mbona kama pesa ndogo sana ya kusababisha mtu atoroke??
Duuuh Shangazi,Am 40s
Yeah😉Duuuh Shangazi,
Kwema lakini Shangazi,Yeah😉
hahah jikuze tuAm 40s
Safi mkuu, nambieKwema lakini Shangazi,
🤣🤣🤣🤭hahah jikuze tu
Unapwaya sana.Kwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Safi sana mkuu km Jana huyu mwenzio amekwama wapi kukwiba 1.5 na kutokomea kusikojulikanaSafi mkuu, nambie
Wengine Majambazi au sio ?! 😆Sio kila mwanamke ni mwizi
Yani unaacha kumuamini mkeo, unaenda kumuamini mke wa mtu mwingine?Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Mshenz tu wa tabia...Wala hazitomfikisha popoteSafi sana mkuu km Jana huyu mwenzio amekwama wapi kukwiba 1.5 na kutokomea kusikojulikana
Wake washakuwa majambaz sasa🤣Yani unaacha kumuamini mkeo, unaenda kumuamini mke wa mtu mwingine?
Wiki tu zimekata 😃Mshenz tu wa tabia...Wala hazitomfikisha popote