Kamwe Usimuamini Mwanamke

Kamwe Usimuamini Mwanamke

Kwema Humu?

Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.

Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.

Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.

Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.

kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.

Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Wala Msela asijali, ni Shetani tu kampitia kumchukua mke wake, akimalizana naye atamuacha huyo mwanamke na atarudi mwenyewe na kuendelea na maisha yao kama wali.
Ni shetani tu.
 
Kwema Humu?

Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.

Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.

Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.

Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.

kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.

Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Unapwaya sana.
Nilifikiri unaongelea mapenzi kumbe ujambazi?
Sio kila mwanamke ni mwizi
 
Kijana mara ya mwsho kuhuzuria kikao cha wanaume ni lin? Hii mada si tulishaijadil? Na tukakubaliana mbna waleta malalamiko ?! Huon unaturudsha nyuma?!
Screenshot_20230607-191749.jpg
 
Mbona hiyo kichwa ya habari haiendani na vilivyomo ndani? MWIZI tapeli mmoja asababishe wote uwaone hawafai kuaminiwa? acha kukusanya mama, dada na shangazi zako kwa group moja na matapeli ni laana
 
Back
Top Bottom