masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
-
- #21
Hatujali sanaaUmezungumza point sana, kuna siku nilikua na mawasiliano na mtu wa Taiwani alikua ana promot bidhaa zao kwenye masoko ya afrika haswa huku mashariki, binafsi nilimpa maelezo mengi juu ya masoko ya Tanzania kwa bidhaa zao, alifanikiwa kupata wateja.
Siku alitaka kutembela Tanzania na alikua ananipa info, ila alikosa ushirikiano kabisa na wafanyabishara wa tanzania badala yake alikwenda kenya na alifanikiwa mno , sasa hivi wao na kenya wanafanya biashara sana, ila sisi kwenye lugha ya biashara tupo duni sana.
Kipindi nafanya biashara ya magodoro kuna jamaa alishawahi kuja kuulizia godoro, nikamtajia bei [180k] akasema napiga mno nishushe kidogo...
Nkamwuliza una sh ngapi akasema ana [140k] nkamsoma nikagundua hana pesa, Then nkamwambia lipia uchukue, Aisee alijikanyaga pale hadi nkamuonea huruma, nkamwambia aende...
Sometimes wateja wenyewe hua wanatutaka tuwajibu vibaya, Hekima inahitajika saan
πππKipindi nafanya biashara ya magodoro kuna jamaa alishawahi kuja kuulizia godoro, nikamtajia bei [180k] akasema napiga mno nishushe kidogo...
Nkamwuliza una sh ngapi akasema ana [140k] nkamsoma nikagundua hana pesa, Then nkamwambia lipia uchukue, Aisee alijikanyaga pale hadi nkamuonea huruma, nkamwambia aende...
Sometimes wateja wenyewe hua wanatutaka tuwajibu vibaya, Hekima inahitajika saana...
Probably alikuwa tu abafanya window-shopping ili anaporudi kwenye mishemishe zake ajue mzigo anaoutaka siku akizipata unauzwa kiasi gani, approach yake ndiyo ilikuwa ya kiboya ila kwenye biashara huwa inapaswa kumnyenyekea mteja. Whatever the approach just note that the customer is always right, mteja anaweza kununua kitu ambacho hakikuwa kwenye plans zake kama pesa anazo reason being ile ulivyom-handle.Kipindi nafanya biashara ya magodoro kuna jamaa alishawahi kuja kuulizia godoro, nikamtajia bei [180k] akasema napiga mno nishushe kidogo...
Nkamwuliza una sh ngapi akasema ana [140k] nkamsoma nikagundua hana pesa, Then nkamwambia lipia uchukue, Aisee alijikanyaga pale hadi nkamuonea huruma, nkamwambia aende...
Sometimes wateja wenyewe hua wanatutaka tuwajibu vibaya, Hekima inahitajika saana...
Ndo mamisemo mnayotembelea waliwaoNB;Mpaka leo Bakhresa anauza maandazi na kila shilingi ina thamani
Sahihi mkuuProbably alikuwa tu abafanya window-shopping ili anaporudi kwenye mishemishe zake ajue mzigo anaoutaka siku akizipata unauzwa kiasi gani, approach yake ndiyo ilikuwa ya kiboya ila kwenye biashara huwa inapaswa kumnyenyekea mteja. Whatever the approach just note that the customer is always right, mteja anaweza kununua kitu ambacho hakikuwa kwenye plans zake kama pesa anazo reason being ile ulivyom-handle.
Noma sana biashara yangu hii. Mteja godoro umemtajia 260000 yeye anataka kwa 150000 . Unamjibu haiwezekani anakujibu ataenda kiwandani au kwa jirani unauza Gali. Kauli hizi zinauma sana. Ilinifanya nilipe kisasi ilikuwa kwenye simu aingie garama za kumtuma boda na hiyo 150000 boda alivyofika nikamdanganya mbona Kuna boda kaja kuchukua mawili nikajua yeye ndio amemtuma hivyo yameisha akachukue kwa jirani kaenda kwa jirani bei. 270000 anaanza godoro analotaka kanipigia kanilaumu kwanini nimeuza nikamwacha hewani mpaka LeoKipindi nafanya biashara ya magodoro kuna jamaa alishawahi kuja kuulizia godoro, nikamtajia bei [180k] akasema napiga mno nishushe kidogo...
Nkamwuliza una sh ngapi akasema ana [140k] nkamsoma nikagundua hana pesa, Then nkamwambia lipia uchukue, Aisee alijikanyaga pale hadi nkamuonea huruma, nkamwambia aende...
Sometimes wateja wenyewe hua wanatutaka tuwajibu vibaya, Hekima inahitajika saana...
Mabumunda ya hivyo ,nitayatembezea vibao mpaka yahame dukaKipindi nafanya biashara ya magodoro kuna jamaa alishawahi kuja kuulizia godoro, nikamtajia bei [180k] akasema napiga mno nishushe kidogo...
Nkamwuliza una sh ngapi akasema ana [140k] nkamsoma nikagundua hana pesa, Then nkamwambia lipia uchukue, Aisee alijikanyaga pale hadi nkamuonea huruma, nkamwambia aende...
Sometimes wateja wenyewe hua wanatutaka tuwajibu vibaya, Hekima inahitajika saana...
Interesting
Inakera lakini ndiyo biashara, Haihitaji hasira.Mabumunda ya hivyo ,nitayatembezea vibao mpaka yahame duka