masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
- #21
Hatujali sanaaUmezungumza point sana, kuna siku nilikua na mawasiliano na mtu wa Taiwani alikua ana promot bidhaa zao kwenye masoko ya afrika haswa huku mashariki, binafsi nilimpa maelezo mengi juu ya masoko ya Tanzania kwa bidhaa zao, alifanikiwa kupata wateja.
Siku alitaka kutembela Tanzania na alikua ananipa info, ila alikosa ushirikiano kabisa na wafanyabishara wa tanzania badala yake alikwenda kenya na alifanikiwa mno , sasa hivi wao na kenya wanafanya biashara sana, ila sisi kwenye lugha ya biashara tupo duni sana.
Ndo maana wachache wanaojali wanatoboa
Hatujali mambo mengi sana juu ya huduma/biashara in general
Mtu anakuletea attitude wakati unampa ela
Ni shida maeneo mengi