Kamwe usimuoneshe mteja huitaji pesa yake

Umezungumza point sana, kuna siku nilikua na mawasiliano na mtu wa Taiwani alikua ana promot bidhaa zao kwenye masoko ya afrika haswa huku mashariki, binafsi nilimpa maelezo mengi juu ya masoko ya Tanzania kwa bidhaa zao, alifanikiwa kupata wateja.

Siku alitaka kutembela Tanzania na alikua ananipa info, ila alikosa ushirikiano kabisa na wafanyabishara wa tanzania badala yake alikwenda kenya na alifanikiwa mno , sasa hivi wao na kenya wanafanya biashara sana, ila sisi kwenye lugha ya biashara tupo duni sana.
Hatujali sanaa
Ndo maana wachache wanaojali wanatoboa
Hatujali mambo mengi sana juu ya huduma/biashara in general
Mtu anakuletea attitude wakati unampa ela
Ni shida maeneo mengi
 
Kipindi nafanya biashara ya magodoro kuna jamaa alishawahi kuja kuulizia godoro, nikamtajia bei [180k] akasema napiga mno nishushe kidogo...

Nkamwuliza una sh ngapi akasema ana [140k] nkamsoma nikagundua hana pesa, Then nkamwambia lipia uchukue, Aisee alijikanyaga pale hadi nkamuonea huruma, nkamwambia aende...

Sometimes wateja wenyewe hua wanatutaka tuwajibu vibaya, Hekima inahitajika saan
Kipindi nafanya biashara ya magodoro kuna jamaa alishawahi kuja kuulizia godoro, nikamtajia bei [180k] akasema napiga mno nishushe kidogo...

Nkamwuliza una sh ngapi akasema ana [140k] nkamsoma nikagundua hana pesa, Then nkamwambia lipia uchukue, Aisee alijikanyaga pale hadi nkamuonea huruma, nkamwambia aende...

Sometimes wateja wenyewe hua wanatutaka tuwajibu vibaya, Hekima inahitajika saana...
😛😛😛
 
Probably alikuwa tu abafanya window-shopping ili anaporudi kwenye mishemishe zake ajue mzigo anaoutaka siku akizipata unauzwa kiasi gani, approach yake ndiyo ilikuwa ya kiboya ila kwenye biashara huwa inapaswa kumnyenyekea mteja. Whatever the approach just note that the customer is always right, mteja anaweza kununua kitu ambacho hakikuwa kwenye plans zake kama pesa anazo reason being ile ulivyom-handle.
 
Sahihi mkuu
 
Kipindi nafanya biashara ya magodoro kuna jamaa alishawahi kuja kuulizia godoro, nikamtajia bei [180k] akasema napiga mno nishushe kidogo...

Nkamwuliza una sh ngapi akasema ana [140k] nkamsoma nikagundua hana pesa, Then nkamwambia lipia uchukue, Aisee alijikanyaga pale hadi nkamuonea huruma, nkamwambia aende...

Sometimes wateja wenyewe hua wanatutaka tuwajibu vibaya, Hekima inahitajika saana...
Noma sana biashara yangu hii. Mteja godoro umemtajia 260000 yeye anataka kwa 150000 . Unamjibu haiwezekani anakujibu ataenda kiwandani au kwa jirani unauza Gali. Kauli hizi zinauma sana. Ilinifanya nilipe kisasi ilikuwa kwenye simu aingie garama za kumtuma boda na hiyo 150000 boda alivyofika nikamdanganya mbona Kuna boda kaja kuchukua mawili nikajua yeye ndio amemtuma hivyo yameisha akachukue kwa jirani kaenda kwa jirani bei. 270000 anaanza godoro analotaka kanipigia kanilaumu kwanini nimeuza nikamwacha hewani mpaka Leo
 
Kipindi nafanya biashara ya magodoro kuna jamaa alishawahi kuja kuulizia godoro, nikamtajia bei [180k] akasema napiga mno nishushe kidogo...

Nkamwuliza una sh ngapi akasema ana [140k] nkamsoma nikagundua hana pesa, Then nkamwambia lipia uchukue, Aisee alijikanyaga pale hadi nkamuonea huruma, nkamwambia aende...

Sometimes wateja wenyewe hua wanatutaka tuwajibu vibaya, Hekima inahitajika saana...
Mabumunda ya hivyo ,nitayatembezea vibao mpaka yahame duka
 
Sawa kabisa tena uko sawa kabisa.kuna mzee mmoja chalinze alikua ana duka kubwa kijijni peke yake akawa na dharau mteja akija yeye anamalizia draft ndo ahudumie we kumbe raia wanamchora tu.mwamba mmoja akafungua duka pembeni yake tena kubwa balaa wateja wakahamia kwa jamaaa.mzee alikosa raha ikawa hata akija mteja choka mbaya anaacha draft
 
Back
Top Bottom