Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Ipo
Kwanini isiwepo??taasisi kubwa namna ile ikose advance???
Ila imeanzishwa mwaka 2011,waliwachukua wale waliokuwa kule uboizini wakawaleta huku.. na ndiyo walioanzisha shule.
ooohhh sawa, sio mwenyeji sana mbeya mkuu!
 
unanitukana sasa[emoji849][emoji849][emoji849]

wakinga hawali mbwa aiseee, hao ni wahehe
Ila si majirani zenu hao???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nyie watu bwana...Mimi nikikaa na mtu wa hivyo nadhani nitashinda natapika kila siku
 
Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.

Tena wengine mnajifanya kupenda sana, unalazimisha kuolewa na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Wengine mnaenda mbali zaidi na kuwasaidia kulipa hizo mahari.

Ukiona umemsaidia kulipa mahari usishangae na huko ndani akakuachia majukumu yote ya familia.

Kama unampenda msaidie mambo mengine lakini ikifika muda wa kulipa mahari hiyo ngoma mwache aicheze mwenyewe, ikimshinda basi huyo hakufai.

Kwanini hakufai??

Hakufai kwa sababu suala la kuoa siyo surprise ni suala la kujiandaa. Kama mchumba ameweza kununua mahitaji yake yote, atashindwaje kukulipia mahari!?!

Binti nakwambia usije thubutu kujifanya unamsaidia mwanaume kulipa mahari, hilo ni lake. Ukimpa mahari ujue umejioa mwenyewe dada.

Na wale vijana mnaolipiwa mahari na wazazi wenu pia siwaelewi jamani. Usije ukashangaa mke anakuwa wa ukoo, wao ndiyo wanamcontrol na hauwezi kufanya jambo bila wao.

Na
Winnie Kilemo
Mimi ww nakung'oa kavu kavu bla gharama labda gharama ntayoingia ni kula kugharamia chakula cha pamoja na wakwe na kununua soda
 
Sijamaanisha ulivyoelewa aisee...
Nimemaanisha umeolewa lini ndg wakati mimi na wewe tunafahamiana na unathubutu kuniongopea kabisa kisa JF.
[emoji44][emoji44]
Yawezekana unanifahamu mimi sikufahamu..au umenifananisha[emoji848]
 
Kila weekend nawakula wakujilipia

Naendelea kutafuta wa kumlipia.
Ohoo
Kumbe na wewe ulishatumika
Screenshot_20201004-125705.jpg
 
Ila si majirani zenu hao???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nyie watu bwana...Mimi nikikaa na mtu wa hivyo nadhani nitashinda natapika kila siku
we mtoto unatapika mtu anaekula mbwa?

unajuaje labda chuo umewahi share kitanda na binti aliekua anameza uchafu wa mchumba wake?[emoji44][emoji44][emoji44]

btw utajuaje anakula dog?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijafika chuo mimi
 
Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.

Tena wengine mnajifanya kupenda sana, unalazimisha kuolewa na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Wengine mnaenda mbali zaidi na kuwasaidia kulipa hizo mahari.

Ukiona umemsaidia kulipa mahari usishangae na huko ndani akakuachia majukumu yote ya familia.

Kama unampenda msaidie mambo mengine lakini ikifika muda wa kulipa mahari hiyo ngoma mwache aicheze mwenyewe, ikimshinda basi huyo hakufai.

Kwanini hakufai??

Hakufai kwa sababu suala la kuoa siyo surprise ni suala la kujiandaa. Kama mchumba ameweza kununua mahitaji yake yote, atashindwaje kukulipia mahari!?!

Binti nakwambia usije thubutu kujifanya unamsaidia mwanaume kulipa mahari, hilo ni lake. Ukimpa mahari ujue umejioa mwenyewe dada.

Na wale vijana mnaolipiwa mahari na wazazi wenu pia siwaelewi jamani. Usije ukashangaa mke anakuwa wa ukoo, wao ndiyo wanamcontrol na hauwezi kufanya jambo bila wao.

Na
Winnie Kilemo
Ukifika miaka 35 usilete uzi huku...
Kama umeolewa acha kupotosha wenzio
 
Back
Top Bottom