Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Watapewa ya mdomo
Labda kama unataka na wewe ulipiwe mahari uolewe ,na kitu kisichowezekana.
😂 Na ndio maana haitakuja tokea kukawa na haki sawa Kama mnavyolilia!
Kama watu wanafanya mpk makubaliano kupanda na kushuka ya mahari Sasa inatofauti ipi ya wewe na muuza nguo mkiwa mnapatana bei..?
Ule ni uuzaji tu Kama uuzaji mwengine tofauti ni lugha ila Mambo ni ni yaleyale..😅
 
Wewe tafsiri vyovyote unavyoweza ila waraka wake unawahusu watu wote.

Sitaki kabisa uwe mwalimu wangu,labda Mimi niwe mwalimu wako[emoji14]
Ada nilishalipa shule miaka mingi iliyopita na nilisoma somo la Elimu ya Biblia pale shule ya wavaa sketi za marinda.
😆😆
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]uwata.......... hivi wana girls kwa advance wale?

haya nimekubali uwe mwalimu wangu, venue wapi sasa nianze darasa!
 
[emoji23] Na ndio maana haitakuja tokea kukawa na haki sawa Kama mnavyolilia!
Kama watu wanafanya mpk makubaliano kupanda na kushuka ya mahari Sasa inatofauti ipi ya wewe na muuza nguo mkiwa mnapatana bei..?
Ule ni uuzaji tu Kama uuzaji mwengine tofauti ni lugha ila Mambo ni ni yaleyale..[emoji28]
Wapi tumelia??

Kama wewe utaenda kununua kama nguo basi ni wewe
Na kama utagawa binti yako for free ni wewe pia.
Hakuna anayekupangia cha kufanya [emoji108]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]uwata.......... hivi wana girls kwa advance wale?

haya nimekubali uwe mwalimu wangu, venue wapi sasa nianze darasa!
Ipo
Kwanini isiwepo??taasisi kubwa namna ile ikose advance???
Ila imeanzishwa mwaka 2011,waliwachukua wale waliokuwa kule uboizini wakawaleta huku.. na ndiyo walioanzisha shule.
 
Nafaa kulipiwa mahari na wala hakuna mwanamke asiyefaa kulipiwa mahari.

Hata unaowaona hawafai ni kwa sababu yenu wanaume..wanaume wa zamani hawakuwa fungua zipu hovyo..nyie wa siku hizi mnapanda ngano mkitegemea kuvuna mahindi!! We ulisikia wapi [emoji23]?
🤣🤣🤣
 
Naomba umuulize tafadhali...

Halafu pia muulize na kwa binti ayetolewa bikira tunatakiwa kulipa mahari kiasi gani?
Ngoja niweke namba yake hapa umuulize mwenyewe

Mtalipa mtakayopangiwa na wazazi
 
Mimi au wewe?
nimeuliza coz wasema wife anahasara ajili ya kupinga kutolewa mahari kwa ke used, mkuu unadhani kwa sasa hakuna mkazo sana wa mahari kwa familia nyingi? wazazi tayari wanajua watoto wao ni used ndo maana hawatii ngumu kama zamani, zamani utamuoa binti wa nani bila mahari wazee wake wakubali?
 
Back
Top Bottom