dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
leo umenichapa kona hatariiii............[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijafika chuo mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo umenichapa kona hatariiii............[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijafika chuo mimi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu mtujibuKwani huu usingo wetu sugu utaisha lini?
khaa kumbe pm yako iko wazi? mbona pm yangu hujawahi kujibu[emoji44][emoji44][emoji44]Labda kama una ID mbili humu.
Hii I'd sijawahi iona PM kwangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo umenichapa kona hatariiii............
Sijawahi kuiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaa kumbe pm yako iko wazi? mbona pm yangu hujawahi kujibu[emoji44][emoji44][emoji44]
MnoWewe Kama mimi tu, mwanamke kumpenda mwanaume Ni kazi sana
Hata hivyo Nina 35Ukifika miaka 35 usilete uzi huku...
Kama umeolewa acha kupotosha wenzio
Nimeamua kubadilika niombee tuuUkiendelea na tabia yako utavuna unachopanda
Wengine hawataki kutoaWaoaji wanasemaje kwani wamekuja?
Saint Anne Hivi unafahamu kuwa mapenzi ya Wawili na wanayo yafanya huwa hayaingiliwi? Hivi unajua kuwa mwanaume kutolea mahari na mzazi au babu ni moja ya jukumu la mzazi kwa mila flani fani na makabila flani, hii ni jadi na mila za wengi sana labda kama ww umekulia sehem ambapo hujui mila zenu au ukoo wenu huwa ahmfanyi haya.Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.
Tena wengine mnajifanya kupenda sana, unalazimisha kuolewa na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Wengine mnaenda mbali zaidi na kuwasaidia kulipa hizo mahari.
Ukiona umemsaidia kulipa mahari usishangae na huko ndani akakuachia majukumu yote ya familia.
Kama unampenda msaidie mambo mengine lakini ikifika muda wa kulipa mahari hiyo ngoma mwache aicheze mwenyewe, ikimshinda basi huyo hakufai.
Kwanini hakufai??
Hakufai kwa sababu suala la kuoa siyo surprise ni suala la kujiandaa. Kama mchumba ameweza kununua mahitaji yake yote, atashindwaje kukulipia mahari!?!
Binti nakwambia usije thubutu kujifanya unamsaidia mwanaume kulipa mahari, hilo ni lake. Ukimpa mahari ujue umejioa mwenyewe dada.
Na wale vijana mnaolipiwa mahari na wazazi wenu pia siwaelewi jamani. Usije ukashangaa mke anakuwa wa ukoo, wao ndiyo wanamcontrol na hauwezi kufanya jambo bila wao.
Na
Winnie Kilemo
SawaNimeamua kubadilika niombee tuu
Hivi ni kwanini huwa wanasema haimalizwi?Daaa afadhali nilishamaliza japo wanasema mahari haimalizwii......
Sawa jiraniHuku Safi....nasoma michango ya wadau...
🙏🙏Sawa
Roho mtakatifu akusaidie
Okeeooohhh sawa, sio mwenyeji sana mbeya mkuu!
Wanadai unakua kama umemnunua mtoto wao...Hivi ni kwanini huwa wanasema haimalizwi?
Hahahaha sio hawataki hao ni mariooWengine hawataki kutoa
Kwa akili zako jinsi zilivyo humu na Kama ndizo hizo unazo basi ana hasara.nimeuliza coz wasema wife anahasara ajili ya kupinga kutolewa mahari kwa ke used, mkuu unadhani kwa sasa hakuna mkazo sana wa mahari kwa familia nyingi? wazazi tayari wanajua watoto wao ni used ndo maana hawatii ngumu kama zamani, zamani utamuoa binti wa nani bila mahari wazee wake wakubali?
Kumbe!Wanadai unakua kama umemnunua mtoto wao...
Kwakweli [emoji23][emoji23]Hahahaha sio hawataki hao ni marioo