KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
😂 Na ndio maana haitakuja tokea kukawa na haki sawa Kama mnavyolilia!Watapewa ya mdomo
Labda kama unataka na wewe ulipiwe mahari uolewe ,na kitu kisichowezekana.
Kama watu wanafanya mpk makubaliano kupanda na kushuka ya mahari Sasa inatofauti ipi ya wewe na muuza nguo mkiwa mnapatana bei..?
Ule ni uuzaji tu Kama uuzaji mwengine tofauti ni lugha ila Mambo ni ni yaleyale..😅