ooohhh sawa, sio mwenyeji sana mbeya mkuu!Ipo
Kwanini isiwepo??taasisi kubwa namna ile ikose advance???
Ila imeanzishwa mwaka 2011,waliwachukua wale waliokuwa kule uboizini wakawaleta huku.. na ndiyo walioanzisha shule.
Huku Safi....nasoma michango ya wadau...Sijambo jirani
Za huko kwenu?
Ila si majirani zenu hao???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unanitukana sasa[emoji849][emoji849][emoji849]
wakinga hawali mbwa aiseee, hao ni wahehe
Mimi ww nakung'oa kavu kavu bla gharama labda gharama ntayoingia ni kula kugharamia chakula cha pamoja na wakwe na kununua sodaKamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.
Tena wengine mnajifanya kupenda sana, unalazimisha kuolewa na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Wengine mnaenda mbali zaidi na kuwasaidia kulipa hizo mahari.
Ukiona umemsaidia kulipa mahari usishangae na huko ndani akakuachia majukumu yote ya familia.
Kama unampenda msaidie mambo mengine lakini ikifika muda wa kulipa mahari hiyo ngoma mwache aicheze mwenyewe, ikimshinda basi huyo hakufai.
Kwanini hakufai??
Hakufai kwa sababu suala la kuoa siyo surprise ni suala la kujiandaa. Kama mchumba ameweza kununua mahitaji yake yote, atashindwaje kukulipia mahari!?!
Binti nakwambia usije thubutu kujifanya unamsaidia mwanaume kulipa mahari, hilo ni lake. Ukimpa mahari ujue umejioa mwenyewe dada.
Na wale vijana mnaolipiwa mahari na wazazi wenu pia siwaelewi jamani. Usije ukashangaa mke anakuwa wa ukoo, wao ndiyo wanamcontrol na hauwezi kufanya jambo bila wao.
Na
Winnie Kilemo
[emoji44][emoji44]Sijamaanisha ulivyoelewa aisee...
Nimemaanisha umeolewa lini ndg wakati mimi na wewe tunafahamiana na unathubutu kuniongopea kabisa kisa JF.
Saint Anne bhana...[emoji44][emoji44]
Yawezekana unanifahamu mimi sikufahamu..au umenifananisha[emoji848]
OhooKila weekend nawakula wakujilipia
Naendelea kutafuta wa kumlipia.
we mtoto unatapika mtu anaekula mbwa?Ila si majirani zenu hao???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nyie watu bwana...Mimi nikikaa na mtu wa hivyo nadhani nitashinda natapika kila siku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mtoto unatapika mtu anaekula mbwa?
unajuaje labda chuo umewahi share kitanda na binti aliekua anameza uchafu wa mchumba wake?[emoji44][emoji44][emoji44]
btw utajuaje anakula dog?
Kuanzia sasa nabadilika tena naokokaOhoo
Kumbe na wewe ulishatumikaView attachment 1596134
Labda kama una ID mbili humu.Saint Anne bhana...
Haya kila la kheri katika majukumu yako.
Ukiendelea na tabia yako utavuna unachopandaKuanzia sasa nabadilika tena naokoka
Yupi?Hii sredi imefanywa aje na mods....!?
Hakuna kitu cha bure hii duniaMimi ww nakung'oa kavu kavu bla gharama labda gharama ntayoingia ni kula kugharamia chakula cha pamoja na wakwe na kununua soda
Kwani huu usingo wetu sugu utaisha lini?Waoaji wanasemaje kwani wamekuja?
Ukifika miaka 35 usilete uzi huku...Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.
Tena wengine mnajifanya kupenda sana, unalazimisha kuolewa na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Wengine mnaenda mbali zaidi na kuwasaidia kulipa hizo mahari.
Ukiona umemsaidia kulipa mahari usishangae na huko ndani akakuachia majukumu yote ya familia.
Kama unampenda msaidie mambo mengine lakini ikifika muda wa kulipa mahari hiyo ngoma mwache aicheze mwenyewe, ikimshinda basi huyo hakufai.
Kwanini hakufai??
Hakufai kwa sababu suala la kuoa siyo surprise ni suala la kujiandaa. Kama mchumba ameweza kununua mahitaji yake yote, atashindwaje kukulipia mahari!?!
Binti nakwambia usije thubutu kujifanya unamsaidia mwanaume kulipa mahari, hilo ni lake. Ukimpa mahari ujue umejioa mwenyewe dada.
Na wale vijana mnaolipiwa mahari na wazazi wenu pia siwaelewi jamani. Usije ukashangaa mke anakuwa wa ukoo, wao ndiyo wanamcontrol na hauwezi kufanya jambo bila wao.
Na
Winnie Kilemo
Wewe Kama mimi tu, mwanamke kumpenda mwanaume Ni kazi sanaMimi bora nisiolewe tu kuliko kuanza kujioa kwa kujilipia mahari[emoji23][emoji23]