Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Nakubaliana na wewe endapo tu pale binti anayekazaniwa iwe isiwe lazima atolewe mahari, naye lazima awe kigori hajaguswa kabisa na mabaharia hapo ni sawa hata wakisema ng`ombe mia ni sawa.
Sawa boss

Japo mahari si mtaji,ng'ombe mia wote wa nini?
 
Nani amesema hana thamani?
Moja ya dhana potofu iliyopo kwa wanaoamini katika mahari ni kwamba mwanamke asielipiwa mahari anakuwa hana thamani na inakuwa ni rahisi mwanamme kumnyanyasa na kutomuheshimu.
 
Moja ya dhana iliyopo kwa wanaoamini katika mahari ni kwamba mwanamke asielipiwa mahari anakuwa hana thamani na inakuwa ni rahisi mwanamme kumnyanyasa na kutomuheshimu.
Na ndivyo ilivyo
Hata yeye mwenyewe akikubali kuja bure nafsi yake itamsuta.
Anaolewaje bure?
 
mi nawafahamu wengi and they are proud!.......


umewahi kumsikia balozi Murro? at one time alikua balozi wa tz pale kwa malkia..... aliozesha watoto wake wa kike wote bila mahari!

mtoto wake wa mwisho aliolewa mwaka 87 nadhani huko mbeya, tena watoto wake walikua na degree imagine kipindi cha Nyerere!
 
Hongera zake.

Mimi nitaolewa kwa mahari Kama jinsi maagizo yalivyo.
 
Wala sikuchooshi mimi.Wewe mwenyewe ndiyo unajichoosha kwa sababu unajicontradict mwenyewe.Kujicontradict mwenyewe ni ishara kuwa hujui unachokitetea.
Sawa
Endelea kujadili mwenyewe.
Kama utaoa bure basi oa bure.
 
Nimeambatanisha hapo kusisitiza hoja, lakini pia manguli wengi wa bibliani hawakuwa na mke mmoja, sijui unatushauri vipi Mtakatifu Anne.View attachment 1595626
Asante sana mkuu umemkata kidomo mleta mada pia ajiandae kuwa mke wa tano chezea biblia wewe wanaume oyeeeeeeee[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
sikiliza,


hakuna maagizo yanayosema mahari lazima, hizo ni taratibu tu binadamu waliamua kuweka!


wewe sema utaolewa kwa mahari kwa vile ndio utamaduni wenu watu wa nyanda za juu
Siyo wa kusini tu!
Upo kibiblia
 
Kuna mmoja alichukua mpaka mkopo kabisa kampa bwana akatoe posa, kweli akazitoa lakini mpaka sasa walisha achana mwaka wa tatu huu na kamwachia mtoto 1
Hapo tunasema collateral damage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…