Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Hayo ni madhara ya uzinzi.
Wanawake hadi wanajua radha tofauti ni kwa sababu nyie vitombi mlioanza kuwaonja kinyume na maagizo ya Mungu
 
[emoji23][emoji23] hutupendi vitombi eeh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnapojionyesha miamba huko nje kumbuka na wanawake wenu wapo kufanyiwa mazoezi huko.

Ukitaka kuwa wa kwanza kwangu na wewe niwe wa kwanza kwako.
 
Mwenzio nalia [emoji24][emoji24][emoji24] Jamani Anne please, please! Mie kwangu nimeshakuweka wewe kwanza!
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza id nikishaiona tu kule kwenye masikhara Basi[emoji119]
 
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza id nikishaiona tu kule kwenye masikhara Basi[emoji119]
ID yangu haipo kule kwenye masikhara bana.
Anne, mwenzio ndo nishakuweka namba moja kwangu. Usifanye hivyo please😭
I have a feeling, You and i will be will be dazzling in front of the Saints. Starting with Saint Anne herself.😀
 
ID yangu haipo kule kwenye masikhara bana.
Anne, mwenzio ndo nishakuweka namba moja kwangu. Usifanye hivyo please[emoji24]
I have a feeling, You and i will be will be dazzling in front of the Saints. Starting with Saint Anne herself.
Yesu wangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Usijichoshe bure

Kama umemaliza kuchangia mada sema[emoji23]
 
Yesu wangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Usijichoshe bure

Kama umemaliza kuchangia mada sema[emoji23]
Huwa sipo serious Mkuu. Ukiwa online inabidi uzoee utani kama huo. Get used to it! Because online lifestyle, you will be encountering those kinda romantic jokes a lot. 😀😀 Utani huo bana.
Definitely ni wazi asilimia kubwa huwezi mpenda mtu online bila picha wala kumuona. ingawa love is blind.
But sometimes unaweza-wish kujua tu mtu anafanana vipi (appearance) based on their online comments (maoni).
 
mambo gani ya kijinga ambayo wanaume wa leo wanayafanya?kuchepuka au
 
hapo it means hata baba ako hana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…