Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
- Thread starter
- #601
Hayo ni madhara ya uzinzi.ila Mahari hizi ndo zinaletaga hasira, unatoa mahari halafu unakuta mke yupo bize na aki-flirt na wanaume wengine. Ooho! ndo chanzo cha mke kupata manundu kwa kipigo kunapoanziaga. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke usikubali kuolewa na mwanaume usiyempenda kisa tu Katoa Mahari, Maana TAHADHARI MBELE KUNA KONA KALI
Wanawake hadi wanajua radha tofauti ni kwa sababu nyie vitombi mlioanza kuwaonja kinyume na maagizo ya Mungu