Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
- Thread starter
-
- #141
Hela lazima zitolewe wewe [emoji23][emoji23]hawajawahi kutoa hela cash?...... uliza utajua!
kabila gani hilo? sijui labda kama msafwa!
Kwamba asiye na wazazi na ndugu alijilea pekeyake?
Sasa hao waliomlea ndiyo wazazi wake utakaowapelekea mahari
unakuta hata hao ndugu waliomlea hawapo tena,alafu wengine wanafosi ndoa hawa pia hamna kutoa mahariKwamba asiye na wazazi na ndugu alijilea pekeyake?
Sasa hao waliomlea ndiyo wazazi wake utakaowapelekea mahari.
Kama unadhani mahari ni ununuzi pole.Nikipata mtoto wa kike Mimi Kama baba naweza muozesha mwanangu bila mahari! Kikubwa yeye na mwenzake wanihakikishie kuwa wataishi kwa upendo na amani hiyo tu ndo itakuwa Kama mahari kwa binti yangu!.. mahari imeficha msingi wa ununuzi tu lkn inatofauti ipi ya kununua kitu..?
Kwani wazazi wa mwanaume wao hawajatunza mtoto wao..??
Mahari ni utamaduni tu uliowekwa ila sio lazima kuufata ni maamuzi ya mtu na mtu.. maana hata Adam hakutoa mahari kwa Eva!
Kila mtu na mtazamo wake na binafsi ndio naweza nikaoa kwa mahari ila sifikirii Sana kuja kuozesha mwanangu kwa mahari!
Ndugu huwa hawakosei mkuuunakuta hata hao ndugu waliomlea hawapo tena,alafu wengine wanafosi ndoa hawa pia hamna kutoa mahari
Kwani wazazi wa mwanaume hawafai kupewa Asante..??Kama unadhani mahari ni ununuzi pole.
Hakuna hela yenye thamani ya kumnunua mtu..haipo.
Mahari ni Akhsante kwa wazazi.
Mahari lazima mtoe tuUmesahau Mkuu na magunia 20 ya mchele jogoo 30 na suti mpya 10 kwa Baba njemba Ina sema binti akistuka mimba tayari! Acha kabisa wahuni!
Tutalonga piemu msweetie.Hujataja kabila lako
wewe, kwanza inabidi uwe mwanafunzi wangu wa biblia........Umehamia tena kwenye pombe??
Alijua madhara ya ulevi ndiyo maana akasema vile na akawaacha watumie busara zao.
Sasa kwanini uweke doubt kama unaamini ni la kweli?
Kwani ni mauziano jamani?😀😀 si ni kama zawadi tu ya shukrani. Ndio uwezo wangu ulipoishia kwa sasa. Au unataka na mimi nianze kukuomba uniongezee mahali.Bata wawili??
Wallah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna mzazi atakubali kutoa mtoto kwa bata wawili??
Embu kuweni na huruma[emoji23]
Watapewa ya mdomoKwani wazazi wa mwanaume hawafai kupewa Asante..??
Nashukuru SanaTutalonga piemu msweetie.
i suspect wewe ni mwenyeji wa either Njombe au mbeya,........Lisemwalo lipo ujue
hahahaaaa hawa ni wasukuma bila shakaUmesahau Mkuu na magunia 20 ya mchele jogoo 30 na suti mpya 10 kwa Baba njemba Ina sema binti akistuka mimba tayari! Acha kabisa wahuni!
alikutolea mahali kiasi gani?au hakutoa ndo mana umeanzisha hii srediNashukuru Sana
Mimi nilishaolewa.
Wewe tafsiri vyovyote unavyoweza ila waraka wake unawahusu watu wote.wewe, kwanza inabidi uwe mwanafunzi wangu wa biblia........
nimesema kuna mafunuo ambayo ni personal, na kuna mafunuo ni unversal..... unaelewa hilo?
sasa, kwa viongozi wengi (hata hawa wa leo) huwa inawawia vigumu kuchanganua tofauti hiyo, kwamba hili ni personal na hili ni jumuishi (unversal)!
nakupa mfano, makanisa mengi hasa ya kipentecoste, pastors wanachanganya sana kati ya mafunuo yanayowahusu wao binafsi na yale yanayohusu taasisi, ndio mana unaona kuna wakat wanaleta vitu vinapata upinzani..........
turudi kwa Paul, (mimi sio muumini wa wake wengi btw), nimesema hatujui huo ufunuo wake ulikua targeted wap, yeye au jumuiya yote?,,, ndio mana nikaleta na mfano wa pombe!......
umeelewa sasa? haya lete ada![emoji23]
[emoji2957][emoji2957] JF.Nashukuru Sana
Mimi nilishaolewa.
Ila hayo yapo au hayapo?i suspect wewe ni mwenyeji wa either Njombe au mbeya,........
toka unakua umewahi sikia mtu kafanikiwa kwa njia hiyo? na walikuonesha mtu huyo?
khaaa kama sio msafwa basi walewale tu unanimalizia vidole vyangu!Hela lazima zitolewe wewe [emoji23][emoji23]
Tena kuna vitu vitatajwa pale ambavyo wanajua kabisa hujabeba[emoji1787]
Mimi si wa hilo kabila