wewe, kwanza inabidi uwe mwanafunzi wangu wa biblia........
nimesema kuna mafunuo ambayo ni personal, na kuna mafunuo ni unversal..... unaelewa hilo?
sasa, kwa viongozi wengi (hata hawa wa leo) huwa inawawia vigumu kuchanganua tofauti hiyo, kwamba hili ni personal na hili ni jumuishi (unversal)!
nakupa mfano, makanisa mengi hasa ya kipentecoste, pastors wanachanganya sana kati ya mafunuo yanayowahusu wao binafsi na yale yanayohusu taasisi, ndio mana unaona kuna wakat wanaleta vitu vinapata upinzani..........
turudi kwa Paul, (mimi sio muumini wa wake wengi btw), nimesema hatujui huo ufunuo wake ulikua targeted wap, yeye au jumuiya yote?,,, ndio mana nikaleta na mfano wa pombe!......
umeelewa sasa? haya lete ada![emoji23]