Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Sema tu wasikubali kuolewa na sie ambao hatuna pesa kuliko kuzunguka zunguka ila me napenda sana akili za wanawake wa sasa hiv hasa hawa below 30 yaan unakuta ana mtu wake wakumpa pesa na nk lakin bado mnakuwa na watu personal kama sie ambao hata kutamka neno ndoa kwa bahati mbaya haijawai tokea
Me nashauri tu endeleeni na moyo huo huo haiwezekan pesa tukose na pisi kali tushindwe kula mchongo
Bora umeenda straight tu mkaliwade😝
 
Hiyo tombatomba unayoiongelea wewe ni ipi kwanza??[emoji1787]
Ukishaoa mke una haki ya kufanya hivyo.

Nyie je!mmeoa?
Mbona mnafungua zipu zenu hizo hovyo kinasikhara..Sasa huu ndo ujinga wenyewe na kukosa akili kulikosemwa kwenye Mithali
Wanawake wa zamani hawakuwa wavivu na wenye mashauzi kama nyie katika kutoa huduma. Ndio maana umalaya ulikuwa hamna.
 
Tafuta yanayokufavor uje unipinge
Haina shida kabisa...ila wanaume wa zamani walikuwa na akili..hawakuwa wajinga Kama wa Sasa.
Ko walideserve tu.

Ujinga wa wanaume wa sasa ndio uliotengeneza mabinti tulionao Sasa

Na hao wanaokuambia habari za mke zaidi ya mmoja nawaona tu wanavyobwabwaja hapa
Ndugu zetu waislam na kwa Imani Yao wapo sawa kabisa..walifwata msingi wa Ibram na Sarai...
Sarai kabla ya kuwa Sara alikuwa hapati watoto..
Sarai alimruhusu Ibram azae na Hajir mjakazi wake...akamzaa Ismail
Lakini baadaye ndo akaja kupata mtoto (Isaka) na Hajir akafukuzwa pale..

Lakini waislam wa Leo wanajiolea tu wake utadhani wanabubuna karanga..wanasomba tu bila kuzingatia utaratibu huo wa kuruhusiwa na wake zao

Mahari yako sitaki[emoji23][emoji23]
Tukiwapeleka kwa mfumo wa zamani kuwa wanawake inatakiwa muwe submissive mbona huwa mnang'aka? Kuishi katika amri za mume hamtaki kabisa.

Kwa hilo andiko seems mwanaume aliruhusiwa kuoa upya endapo kuna changamoto ya ndoa. Uzuri hilo swala lilikuwa rasmi. Ila kwa sasa wanaume wanafanya hilo hilo japo sio rasmi ndo unawaita wajinga?

Wewe papuchi hunipi kwa wakati huishiwi visababu mara sijiskii, mara nimechoka, mara vile...Mumeo akitafta suluhu pembeni unamuona mshenzi? Huzai mumeo kahangaika na wewe for years kaamua azae na mwanamke mwengine kwa siri..unamuita mjinga?
 
Kwa mdomo huo napata shaka kama unaweza kutulia ndani ya ndoa
 
Mahari is overrated, mahari kwa dunia ya sasa haina maana yoyote. Kwani zamani walitoa mahari kwa sababu zipi, I thought ni asante kwa wazazi kimtunza binti yao hadi anaolewa akiwa kigori(kigoli).

Leo unaoa mke wa watu huko, walishajitwalia wengi kabla yako wewe unakuja kuhalalishwa tu na kujibebea, kuongeza laana katika uzao wako.

Mahari for the purity nakubali, Ila kwa sisi tuliojiharibu, sioni mantiki hata kidogo.
Maneno yako makali sana
 
Tukiwapeleka kwa mfumo wa zamani kuwa wanawake inatakiwa muwe submissive mbona huwa mnang'aka? Kuishi katika amri za mume hamtaki kabisa.

Kwa hilo andiko seems mwanaume aliruhusiwa kuoa upya endapo kuna changamoto ya ndoa. Uzuri hilo swala lilikuwa rasmi. Ila kwa sasa wanaume wanafanya hilo hilo japo sio rasmi ndo unawaita wajinga?

Wewe papuchi hunipi kwa wakati huishiwi visababu mara sijiskii, mara nimechoka, mara vile...Mumeo akitafta suluhu pembeni unamuona mshenzi? Huzai mumeo kahangaika na wewe for years kaamua azae na mwanamke mwengine kwa siri..unamuita mjinga?
Ni wajinga ndiyo

Usianze kuweka assumptions zako, ingekuwa hivyo ingeandikwa.
 
Bikra zipo??

Jokajeusi unaitwa huku
Jokajeusi uzii wake ule kiboko yao naona umefutwa!? Au ni kwangu tu ndiyo siiuoni!?
Zipo mkuu
Ngoja niwaonyeshe wanaume walivyo wanafiki.

Kuna uzi wangu humu niliandika kuhusu kanuni za uchumba salama,kanuni ya kumi niliandika "Usizini"
Wote walinirushia maneno.
Leo hawana haya kunyanyua midomo kuongelea bikra utadhani sio wao walikuwa wanasema"endelea kujidai unabania utajioa mwenyewe"
 
Back
Top Bottom