Kamzalisha watoto wawili ila anadai siyo "type yake"

Fwata yako, kamzalisha anamhudumia, nini tatizo lako, unakuja hadi huku kulalamika. Hakutaki anamtaka huyo ambaye anamla na kumhudumia, amekwambia atajengewa na nyumba.

Kingine bro tafuta hela..
Wenye majibu haya wengi bado mnakula ugali wa shikamoo, mwaka wa 12 sasa najitegemea
 
Kwa nini unataka kumshauri mtu mzima afanye kitu ambacho ni wazi hataki kufanya?

Akimuoa au kuishi na huyo dada kwa pressure zenu, halafu akawa anampiga kila siku kwa sababu "si type yake" utafurahi?

Mwache mtu mzima aamue maisha yake mwenyewe.

Kwani alikuomba ushauri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anahudumia mama na watoto wake na atawajengea nyumba ya kuishi, manzi hana shida ameridhika wewe unateseka na nini..?

Sitaki kuwaza kuwa huyo manzi umekuwa ukimwinda na amekupiga chini, nakushauri utafute hela na uache kulialia.

Tafuta siku mwende tena Mbudya mkaogelee, ili mkirudi umsindikize jamaa akatie mimba tena.... utakuwa umeshiriki kwa namna njema kuijenga familia yao.
 
kwakuwa ni rafiki tunajaribu kuangalia Unamzalishaje mdada watoto wawili na huna nia ya kuishi nae?
 
sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…