Kamzalisha watoto wawili ila anadai siyo "type yake"

Kamzalisha watoto wawili ila anadai siyo "type yake"

Mkuu wala hata msijisumbue kumshauri huyo Masoud asije akwatenga tena kama alivyofanya hapo awali

ujue nini asiyejua maana haambiwi maana,mtoto akililia wembe mpe

mshamshauri akawaona maboya na akawatenga juu na kukosana na wazazi kwa ajili ya mzazi mwenzie

achaneni naye ampate soul mate wake roho yake itulie

yatakayokuja kumpata huko mbeleni ninyin mmeshanawa mikono maanake kumlazimisha amuoe huyo binti ni kumtafutia maumivu ya ndoa binti asiye na hatia na pengie kumzibia kwa mtu ambaye angempenda kwa dhati

my take kabla hujafanya dhambi na mwanaume au mwanamke yeyote yule tafadhali jihakikishie umeridhika naye,haya mambo ya kumpuuza mtu kwa sababu unaona sio hadhi yako na hasa baada ya kusex naye matokeo yake ni mabaya kuliko hata neon lenyewe baya

all the best kwake Masoud
 
Wacha atafute soulmate siku akigundua kachanganya mfuniko wa toss kufunika soda ya fanta atarudi tu kwa mama watoto wake,
 
Back
Top Bottom