KANAKAMFUMU:UKWELI MCHUNGU KUHUSU YANGA

KANAKAMFUMU:UKWELI MCHUNGU KUHUSU YANGA

Efendi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
314
Reaction score
438
KANAKAMFUMO ANALIA NA YANGA KWA MAFANIKIO YA SIMBA KLABU BINGWA.

MCHAMBUZI KANAKAMFUMO UKIFATILIA GAZETI LA MWANASPORT LA LEO UTAONA UCHAMBUZI WAKE KAMA VILE ANAUMIA KWA NINI SIMBA INAFANYA VIZURI KIMATAIFA KULIKO YANGA NA HITIMISHO LA MANUNG'UNIKO YAKE ANAISHIA NA KICHWA CHAKE CHA HABARI KAMA UNAVYOKISOMA CHINI!!!!

SABABU KUU ZA SIMBA KUWA BORA KIMATAIFA DHIDI YA YANGA.

1-WACHAMBUZI WANAIDEKEZA YANGA HATA KWENYE UBWEGE.
YANGA HATA IKIWA MBOVU HUWA HAIAMBIWI UKWELI ILA KUSHABAKIWA,MFANO HII YA SASA SIO TIMU NZURI LAKINI INATAMKWA NDIO TIMU BORA KULINGANISHA AZAM NA SIMBA.

2-SIMBA BORA IMEFUNGWA NA KUDROO,AZAM BORA IMEDROO NYINGI LAKINI YANGA HAIKO KWENYE UBORA NDIO INAFANYA VIZURI,HII YOTE KUNA MAAMUZI MENGI YA UTATA KWA WAAMUZI!!!
MECHI YA MBEYA VULUGU TUPU,RUVU SHOOTING PENALT NYINGI WAMENYIMWA LAKINI WACHAMBUZI HAWACHAMBUI ILA WANACHAMBUA YANGA HAIFUNGWI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI ZAO KUJIULIZA SANA KAMA KUNA MAKANDO KANDO KATIKA MECHI ZAO!!!SIMBA KOSA DOGO LA MANURA WAMEKUFA KWA PENATI DHIDI YA MBAO!!!

3-SASA HIVI WAKO KATIKA MSUGUANO NA SERIKALI LAKINI WACHAMBUZI WANAISHAMBULIA TFF NA WAKO NA YANGA KISA MANJI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI KUONA SHERIA INASEMAJE!!!!!

4-UBINGWA WALIOFUNGANA POENTI NA SIMBA,SHELIA ZIMEPINDISHWA JAPO KADI ZA NJANO ZIPO LAKINI YANGA KUONA NYARAKA ZIKO WAZI ZINAONYESHA KADI ZIPO WAO WAKAZIKATAA NYARAKA, ETI ZIMECHEZEWA MALINZI AKAWAPA UBINGWA KISHA WAKASHANGILIA UBINGWA WA MAUZAUZA NA KOMBE WAKAPEWA LOTELOTE NA KUJIFURAHISHA KATIKA MAZINGAOMBWE WAKAWA WAWAKILISHI KIMATAIFA,KILICHOTOKEA MNAKIJUA!!!!!

KWA KIFUPI YANGA WANADEKEZWA HAPA NYUMBANI KWA MAMBO MENGI NA NDIO MAANA WENYEWE WANATAMBA WANATAWALA SOKA LA HAPA NYUMBANI,NA NI KWELI NA KWA MTINDO HUU,YANGA WANAPOKWENDA KIMATAIFA WANAJIKUTA WAKO KATIKA ULIMWENGU MPYA WA KUPAMBANA BILA DEKO NA NDIO MAANA HALI YAO KIMATAIFA HUWA MBAYA MNO!!!!

HUKO HAKUNA TFF HUKO NI KUWA NA PESA ZA KUTOSHA,USAJILI IMARA,BENCHI LA UFUNDI BORA NA KUINDAA TIMU HASA, TOFAUTI HAPA HATA UKIWA NA KINA KINDOKI,NINJA,NGASA ALIYECHOKA FRESHI TU!! HUKU MAGZAZETI NA MAREDIO OYA OYA SANA!!!

NGOMA ALIYEKUWA HAPA MTAKATIFU ATAKIWI KUGUSWA NA MABEKI NA UKIMGUSA UNAPEWA KADI, NDIO HUYO KIMATAIFA ALIPUMZISHWA KWA KADI ZA NJANO NA NYEKUNDU NA YANGA KUONEKANA WATATA HAKUNA MTU ASIYEKUMBUKA!!!!
NGOMA YEYE HUYU ALIOKUWA MTAKATIFU YANGA TAYARI KULE AZAM ALISHAPIGWA KADI NYEKUNDU!!!!!

KWA KIFUPI YANGA WASIPOBADILIKA KUPENDA KUDEKEZWA NA URAHISI WA LIGI YA NYUMBANI KAMWE HAWATAKUWA WAWAKILISHI WAZURI KIMATAIFA ILA SIMBA NA AZAM WANAWEZA KUFANYA VIZURI SANA KIMATAIFA,KANAKAMFUMO NA WACHAMBUZI WENGINE MLIELEWE HILI KUWA WANANCHI WANADEKEZWA!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani katika miaka kumi Simba na Azamu hawajashiriki kimataifa? Walifanya mini?
Kama hatakombe LA Spotpesa linatushinda sembuse na huko?
Timu zetu hazipo kiushindani wa muda mrefu, kucheza gem nyingi kwa mwaka hao wachezaji hatuna. Walio wengi atacheza mechi 2 inayokuja hawezi. Mlisema Yanga inabebwa na Malinzi Leo inashinda kwa Karia mnasema inabebwa. Jitafakari usifikiri ikawa bora sana kwa Mawazo yako .Pambaneni.
 
Hv ni Yanga peke yake inayonufaika na waamuzi? Mbona mechi nyingi sana tunaona maamuzi Tata na wala hawayasemi?

Simba wamebebwa kombe la shirikisho lkn hakuna kelele ingekuwa Yanga ingepigiwa kelele tupu.

Ngoma kaenda Azam jaribu kuangalia perfomance yake imerudi km zamani kweli, fanbase ya azam ni ndogo ukilinganisha na yanga kwahiyo zile sifa alizokuwa anapata yanga kwa sasa hakuna ndio maana unaona anakuwa na mihasira anapewa kadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengine nawaachia nyie ila lile la kukataa kuvaa badge ya vodacom kisa ina rangi nyekundu na TFF ikawaridhia ni jambo la kipumbavu kuwai kufanywa na ndio jambo lililomfanya vodacom kuiachia ligi,kupitia lile tukio nimeacha kufuatilia mpira wa nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KANAKAMFUMO ANALIA NA YANGA KWA MAFANIKIO YA SIMBA KLABU BINGWA.

MCHAMBUZI KANAKAMFUMO UKIFATILIA GAZETI LA MWANASPORT LA LEO UTAONA UCHAMBUZI WAKE KAMA VILE ANAUMIA KWA NINI SIMBA INAFANYA VIZURI KIMATAIFA KULIKO YANGA NA HITIMISHO LA MANUNG'UNIKO YAKE ANAISHIA NA KICHWA CHAKE CHA HABARI KAMA UNAVYOKISOMA CHINI!!!!

SABABU KUU ZA SIMBA KUWA BORA KIMATAIFA DHIDI YA YANGA.

1-WACHAMBUZI WANAIDEKEZA YANGA HATA KWENYE UBWEGE.
YANGA HATA IKIWA MBOVU HUWA HAIAMBIWI UKWELI ILA KUSHABAKIWA,MFANO HII YA SASA SIO TIMU NZURI LAKINI INATAMKWA NDIO TIMU BORA KULINGANISHA AZAM NA SIMBA.

2-SIMBA BORA IMEFUNGWA NA KUDROO,AZAM BORA IMEDROO NYINGI LAKINI YANGA HAIKO KWENYE UBORA NDIO INAFANYA VIZURI,HII YOTE KUNA MAAMUZI MENGI YA UTATA KWA WAAMUZI!!!
MECHI YA MBEYA VULUGU TUPU,RUVU SHOOTING PENALT NYINGI WAMENYIMWA LAKINI WACHAMBUZI HAWACHAMBUI ILA WANACHAMBUA YANGA HAIFUNGWI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI ZAO KUJIULIZA SANA KAMA KUNA MAKANDO KANDO KATIKA MECHI ZAO!!!SIMBA KOSA DOGO LA MANURA WAMEKUFA KWA PENATI DHIDI YA MBAO!!!

3-SASA HIVI WAKO KATIKA MSUGUANO NA SERIKALI LAKINI WACHAMBUZI WANAISHAMBULIA TFF NA WAKO NA YANGA KISA MANJI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI KUONA SHERIA INASEMAJE!!!!!

4-UBINGWA WALIOFUNGANA POENTI NA SIMBA,SHELIA ZIMEPINDISHWA JAPO KADI ZA NJANO ZIPO LAKINI YANGA KUONA NYARAKA ZIKO WAZI ZINAONYESHA KADI ZIPO WAO WAKAZIKATAA NYARAKA, ETI ZIMECHEZEWA MALINZI AKAWAPA UBINGWA KISHA WAKASHANGILIA UBINGWA WA MAUZAUZA NA KOMBE WAKAPEWA LOTELOTE NA KUJIFURAHISHA KATIKA MAZINGAOMBWE WAKAWA WAWAKILISHI KIMATAIFA,KILICHOTOKEA MNAKIJUA!!!!!

KWA KIFUPI YANGA WANADEKEZWA HAPA NYUMBANI KWA MAMBO MENGI NA NDIO MAANA WENYEWE WANATAMBA WANATAWALA SOKA LA HAPA NYUMBANI,NA NI KWELI NA KWA MTINDO HUU,YANGA WANAPOKWENDA KIMATAIFA WANAJIKUTA WAKO KATIKA ULIMWENGU MPYA WA KUPAMBANA BILA DEKO NA NDIO MAANA HALI YAO KIMATAIFA HUWA MBAYA MNO!!!!

HUKO HAKUNA TFF HUKO NI KUWA NA PESA ZA KUTOSHA,USAJILI IMARA,BENCHI LA UFUNDI BORA NA KUINDAA TIMU HASA, TOFAUTI HAPA HATA UKIWA NA KINA KINDOKI,NINJA,NGASA ALIYECHOKA FRESHI TU!! HUKU MAGZAZETI NA MAREDIO OYA OYA SANA!!!

NGOMA ALIYEKUWA HAPA MTAKATIFU ATAKIWI KUGUSWA NA MABEKI NA UKIMGUSA UNAPEWA KADI, NDIO HUYO KIMATAIFA ALIPUMZISHWA KWA KADI ZA NJANO NA NYEKUNDU NA YANGA KUONEKANA WATATA HAKUNA MTU ASIYEKUMBUKA!!!!
NGOMA YEYE HUYU ALIOKUWA MTAKATIFU YANGA TAYARI KULE AZAM ALISHAPIGWA KADI NYEKUNDU!!!!!

KWA KIFUPI YANGA WASIPOBADILIKA KUPENDA KUDEKEZWA NA URAHISI WA LIGI YA NYUMBANI KAMWE HAWATAKUWA WAWAKILISHI WAZURI KIMATAIFA ILA SIMBA NA AZAM WANAWEZA KUFANYA VIZURI SANA KIMATAIFA,KANAKAMFUMO NA WACHAMBUZI WENGINE MLIELEWE HILI KUWA WANANCHI WANADEKEZWA!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni maoni yake tuu na nitashukuru akiendelea nayo na sisi tunaendelea na yanga yetu mbovu
 
Kulialia ni sifa ya kike, kesho 08:00 asubuhi nikukute pale KAIRUKI HOSPITALI OFISINI KWANGU nikupime chembe chembe zako za gametiume(homoni za kiume) kama hazina UKAKASI wowote wa chembe chembe za gametiuke(homoni za kike) pamoja na JINSIA yako.

Kama utakuwa uko vizuri kwa vipimo hivyo, basi utakuwa una matatizo ya akili kichwani kwa kuwa na majungu yasiyo na tija yoyote ile katika maisha yako maana Wanaume huwa hatuliilii saaana kama wewe.

Pambana kiume kijana kwani hakuna kinachopatikana kirahisi.
KANAKAMFUMO ANALIA NA YANGA KWA MAFANIKIO YA SIMBA KLABU BINGWA.

MCHAMBUZI KANAKAMFUMO UKIFATILIA GAZETI LA MWANASPORT LA LEO UTAONA UCHAMBUZI WAKE KAMA VILE ANAUMIA KWA NINI SIMBA INAFANYA VIZURI KIMATAIFA KULIKO YANGA NA HITIMISHO LA MANUNG'UNIKO YAKE ANAISHIA NA KICHWA CHAKE CHA HABARI KAMA UNAVYOKISOMA CHINI!!!!

SABABU KUU ZA SIMBA KUWA BORA KIMATAIFA DHIDI YA YANGA.

1-WACHAMBUZI WANAIDEKEZA YANGA HATA KWENYE UBWEGE.
YANGA HATA IKIWA MBOVU HUWA HAIAMBIWI UKWELI ILA KUSHABAKIWA,MFANO HII YA SASA SIO TIMU NZURI LAKINI INATAMKWA NDIO TIMU BORA KULINGANISHA AZAM NA SIMBA.

2-SIMBA BORA IMEFUNGWA NA KUDROO,AZAM BORA IMEDROO NYINGI LAKINI YANGA HAIKO KWENYE UBORA NDIO INAFANYA VIZURI,HII YOTE KUNA MAAMUZI MENGI YA UTATA KWA WAAMUZI!!!
MECHI YA MBEYA VULUGU TUPU,RUVU SHOOTING PENALT NYINGI WAMENYIMWA LAKINI WACHAMBUZI HAWACHAMBUI ILA WANACHAMBUA YANGA HAIFUNGWI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI ZAO KUJIULIZA SANA KAMA KUNA MAKANDO KANDO KATIKA MECHI ZAO!!!SIMBA KOSA DOGO LA MANURA WAMEKUFA KWA PENATI DHIDI YA MBAO!!!

3-SASA HIVI WAKO KATIKA MSUGUANO NA SERIKALI LAKINI WACHAMBUZI WANAISHAMBULIA TFF NA WAKO NA YANGA KISA MANJI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI KUONA SHERIA INASEMAJE!!!!!

4-UBINGWA WALIOFUNGANA POENTI NA SIMBA,SHELIA ZIMEPINDISHWA JAPO KADI ZA NJANO ZIPO LAKINI YANGA KUONA NYARAKA ZIKO WAZI ZINAONYESHA KADI ZIPO WAO WAKAZIKATAA NYARAKA, ETI ZIMECHEZEWA MALINZI AKAWAPA UBINGWA KISHA WAKASHANGILIA UBINGWA WA MAUZAUZA NA KOMBE WAKAPEWA LOTELOTE NA KUJIFURAHISHA KATIKA MAZINGAOMBWE WAKAWA WAWAKILISHI KIMATAIFA,KILICHOTOKEA MNAKIJUA!!!!!

KWA KIFUPI YANGA WANADEKEZWA HAPA NYUMBANI KWA MAMBO MENGI NA NDIO MAANA WENYEWE WANATAMBA WANATAWALA SOKA LA HAPA NYUMBANI,NA NI KWELI NA KWA MTINDO HUU,YANGA WANAPOKWENDA KIMATAIFA WANAJIKUTA WAKO KATIKA ULIMWENGU MPYA WA KUPAMBANA BILA DEKO NA NDIO MAANA HALI YAO KIMATAIFA HUWA MBAYA MNO!!!!

HUKO HAKUNA TFF HUKO NI KUWA NA PESA ZA KUTOSHA,USAJILI IMARA,BENCHI LA UFUNDI BORA NA KUINDAA TIMU HASA, TOFAUTI HAPA HATA UKIWA NA KINA KINDOKI,NINJA,NGASA ALIYECHOKA FRESHI TU!! HUKU MAGZAZETI NA MAREDIO OYA OYA SANA!!!

NGOMA ALIYEKUWA HAPA MTAKATIFU ATAKIWI KUGUSWA NA MABEKI NA UKIMGUSA UNAPEWA KADI, NDIO HUYO KIMATAIFA ALIPUMZISHWA KWA KADI ZA NJANO NA NYEKUNDU NA YANGA KUONEKANA WATATA HAKUNA MTU ASIYEKUMBUKA!!!!
NGOMA YEYE HUYU ALIOKUWA MTAKATIFU YANGA TAYARI KULE AZAM ALISHAPIGWA KADI NYEKUNDU!!!!!

KWA KIFUPI YANGA WASIPOBADILIKA KUPENDA KUDEKEZWA NA URAHISI WA LIGI YA NYUMBANI KAMWE HAWATAKUWA WAWAKILISHI WAZURI KIMATAIFA ILA SIMBA NA AZAM WANAWEZA KUFANYA VIZURI SANA KIMATAIFA,KANAKAMFUMO NA WACHAMBUZI WENGINE MLIELEWE HILI KUWA WANANCHI WANADEKEZWA!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona simjui Huyo kamfumu ndio nini!? Simba inafanya vizuri kimataifa kivipi!? Kuingia kwenye makundi? Huyu hata nyumbani kwake kama ameoa mkewe atakuwa huwa anamtandika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa najiuliza, hivi ni mimi peke yangu ndio huwa sielewi au ndio UMBUMBUMBU wa hawa watu aliousema Nabii Rage wa Tabora? Maana kila uchao nasikia sifa za Simba Koko kimataifa, ila nikifuatilia kumbukumbu ni Yanga ndio namuona akienda NJE YA TANZANIA, AKAWANASA MAKOFI WENYEJI NA KUPANDA NDEGE NA KOMBE. Simba hawa labda wanazungumzia kombe La Maulid huko Zanzibar
 
KANAKAMFUMO ANALIA NA YANGA KWA MAFANIKIO YA SIMBA KLABU BINGWA.

MCHAMBUZI KANAKAMFUMO UKIFATILIA GAZETI LA MWANASPORT LA LEO UTAONA UCHAMBUZI WAKE KAMA VILE ANAUMIA KWA NINI SIMBA INAFANYA VIZURI KIMATAIFA KULIKO YANGA NA HITIMISHO LA MANUNG'UNIKO YAKE ANAISHIA NA KICHWA CHAKE CHA HABARI KAMA UNAVYOKISOMA CHINI!!!!

SABABU KUU ZA SIMBA KUWA BORA KIMATAIFA DHIDI YA YANGA.

1-WACHAMBUZI WANAIDEKEZA YANGA HATA KWENYE UBWEGE.
YANGA HATA IKIWA MBOVU HUWA HAIAMBIWI UKWELI ILA KUSHABAKIWA,MFANO HII YA SASA SIO TIMU NZURI LAKINI INATAMKWA NDIO TIMU BORA KULINGANISHA AZAM NA SIMBA.

2-SIMBA BORA IMEFUNGWA NA KUDROO,AZAM BORA IMEDROO NYINGI LAKINI YANGA HAIKO KWENYE UBORA NDIO INAFANYA VIZURI,HII YOTE KUNA MAAMUZI MENGI YA UTATA KWA WAAMUZI!!!
MECHI YA MBEYA VULUGU TUPU,RUVU SHOOTING PENALT NYINGI WAMENYIMWA LAKINI WACHAMBUZI HAWACHAMBUI ILA WANACHAMBUA YANGA HAIFUNGWI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI ZAO KUJIULIZA SANA KAMA KUNA MAKANDO KANDO KATIKA MECHI ZAO!!!SIMBA KOSA DOGO LA MANURA WAMEKUFA KWA PENATI DHIDI YA MBAO!!!

3-SASA HIVI WAKO KATIKA MSUGUANO NA SERIKALI LAKINI WACHAMBUZI WANAISHAMBULIA TFF NA WAKO NA YANGA KISA MANJI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI KUONA SHERIA INASEMAJE!!!!!

4-UBINGWA WALIOFUNGANA POENTI NA SIMBA,SHELIA ZIMEPINDISHWA JAPO KADI ZA NJANO ZIPO LAKINI YANGA KUONA NYARAKA ZIKO WAZI ZINAONYESHA KADI ZIPO WAO WAKAZIKATAA NYARAKA, ETI ZIMECHEZEWA MALINZI AKAWAPA UBINGWA KISHA WAKASHANGILIA UBINGWA WA MAUZAUZA NA KOMBE WAKAPEWA LOTELOTE NA KUJIFURAHISHA KATIKA MAZINGAOMBWE WAKAWA WAWAKILISHI KIMATAIFA,KILICHOTOKEA MNAKIJUA!!!!!

KWA KIFUPI YANGA WANADEKEZWA HAPA NYUMBANI KWA MAMBO MENGI NA NDIO MAANA WENYEWE WANATAMBA WANATAWALA SOKA LA HAPA NYUMBANI,NA NI KWELI NA KWA MTINDO HUU,YANGA WANAPOKWENDA KIMATAIFA WANAJIKUTA WAKO KATIKA ULIMWENGU MPYA WA KUPAMBANA BILA DEKO NA NDIO MAANA HALI YAO KIMATAIFA HUWA MBAYA MNO!!!!

HUKO HAKUNA TFF HUKO NI KUWA NA PESA ZA KUTOSHA,USAJILI IMARA,BENCHI LA UFUNDI BORA NA KUINDAA TIMU HASA, TOFAUTI HAPA HATA UKIWA NA KINA KINDOKI,NINJA,NGASA ALIYECHOKA FRESHI TU!! HUKU MAGZAZETI NA MAREDIO OYA OYA SANA!!!

NGOMA ALIYEKUWA HAPA MTAKATIFU ATAKIWI KUGUSWA NA MABEKI NA UKIMGUSA UNAPEWA KADI, NDIO HUYO KIMATAIFA ALIPUMZISHWA KWA KADI ZA NJANO NA NYEKUNDU NA YANGA KUONEKANA WATATA HAKUNA MTU ASIYEKUMBUKA!!!!
NGOMA YEYE HUYU ALIOKUWA MTAKATIFU YANGA TAYARI KULE AZAM ALISHAPIGWA KADI NYEKUNDU!!!!!

KWA KIFUPI YANGA WASIPOBADILIKA KUPENDA KUDEKEZWA NA URAHISI WA LIGI YA NYUMBANI KAMWE HAWATAKUWA WAWAKILISHI WAZURI KIMATAIFA ILA SIMBA NA AZAM WANAWEZA KUFANYA VIZURI SANA KIMATAIFA,KANAKAMFUMO NA WACHAMBUZI WENGINE MLIELEWE HILI KUWA WANANCHI WANADEKEZWA!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanakamfumo usimsingizie mkuu.
Hiyo ni taathimini yako na kwani mnateseka na yanga kuongoza ligi?? Au yanga kubeba kombe jumlajumla kumbe roho zinawauma? Punguzeni jaziba.

Yanga sio timu nzuri wala haichezi vizuri lakini point Tatu inachukua.

Unaukumbuka ubingwa wa leister city mkuu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengine nawaachia nyie ila lile la kukataa kuvaa badge ya vodacom kisa ina rangi nyekundu na TFF ikawaridhia ni jambo la kipumbavu kuwai kufanywa na ndio jambo lililomfanya vodacom kuiachia ligi,kupitia lile tukio nimeacha kufuatilia mpira wa nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekubali kuwa bila yanga hakuna ligi hapa tz mpaka voda wakajitoa udhamini sababu ya badge nyekundu kukataliwa na yanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KANAKAMFUMO ANALIA NA YANGA KWA MAFANIKIO YA SIMBA KLABU BINGWA.

MCHAMBUZI KANAKAMFUMO UKIFATILIA GAZETI LA MWANASPORT LA LEO UTAONA UCHAMBUZI WAKE KAMA VILE ANAUMIA KWA NINI SIMBA INAFANYA VIZURI KIMATAIFA KULIKO YANGA NA HITIMISHO LA MANUNG'UNIKO YAKE ANAISHIA NA KICHWA CHAKE CHA HABARI KAMA UNAVYOKISOMA CHINI!!!!

SABABU KUU ZA SIMBA KUWA BORA KIMATAIFA DHIDI YA YANGA.

1-WACHAMBUZI WANAIDEKEZA YANGA HATA KWENYE UBWEGE.
YANGA HATA IKIWA MBOVU HUWA HAIAMBIWI UKWELI ILA KUSHABAKIWA,MFANO HII YA SASA SIO TIMU NZURI LAKINI INATAMKWA NDIO TIMU BORA KULINGANISHA AZAM NA SIMBA.

2-SIMBA BORA IMEFUNGWA NA KUDROO,AZAM BORA IMEDROO NYINGI LAKINI YANGA HAIKO KWENYE UBORA NDIO INAFANYA VIZURI,HII YOTE KUNA MAAMUZI MENGI YA UTATA KWA WAAMUZI!!!
MECHI YA MBEYA VULUGU TUPU,RUVU SHOOTING PENALT NYINGI WAMENYIMWA LAKINI WACHAMBUZI HAWACHAMBUI ILA WANACHAMBUA YANGA HAIFUNGWI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI ZAO KUJIULIZA SANA KAMA KUNA MAKANDO KANDO KATIKA MECHI ZAO!!!SIMBA KOSA DOGO LA MANURA WAMEKUFA KWA PENATI DHIDI YA MBAO!!!

3-SASA HIVI WAKO KATIKA MSUGUANO NA SERIKALI LAKINI WACHAMBUZI WANAISHAMBULIA TFF NA WAKO NA YANGA KISA MANJI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI KUONA SHERIA INASEMAJE!!!!!

4-UBINGWA WALIOFUNGANA POENTI NA SIMBA,SHELIA ZIMEPINDISHWA JAPO KADI ZA NJANO ZIPO LAKINI YANGA KUONA NYARAKA ZIKO WAZI ZINAONYESHA KADI ZIPO WAO WAKAZIKATAA NYARAKA, ETI ZIMECHEZEWA MALINZI AKAWAPA UBINGWA KISHA WAKASHANGILIA UBINGWA WA MAUZAUZA NA KOMBE WAKAPEWA LOTELOTE NA KUJIFURAHISHA KATIKA MAZINGAOMBWE WAKAWA WAWAKILISHI KIMATAIFA,KILICHOTOKEA MNAKIJUA!!!!!

KWA KIFUPI YANGA WANADEKEZWA HAPA NYUMBANI KWA MAMBO MENGI NA NDIO MAANA WENYEWE WANATAMBA WANATAWALA SOKA LA HAPA NYUMBANI,NA NI KWELI NA KWA MTINDO HUU,YANGA WANAPOKWENDA KIMATAIFA WANAJIKUTA WAKO KATIKA ULIMWENGU MPYA WA KUPAMBANA BILA DEKO NA NDIO MAANA HALI YAO KIMATAIFA HUWA MBAYA MNO!!!!

HUKO HAKUNA TFF HUKO NI KUWA NA PESA ZA KUTOSHA,USAJILI IMARA,BENCHI LA UFUNDI BORA NA KUINDAA TIMU HASA, TOFAUTI HAPA HATA UKIWA NA KINA KINDOKI,NINJA,NGASA ALIYECHOKA FRESHI TU!! HUKU MAGZAZETI NA MAREDIO OYA OYA SANA!!!

NGOMA ALIYEKUWA HAPA MTAKATIFU ATAKIWI KUGUSWA NA MABEKI NA UKIMGUSA UNAPEWA KADI, NDIO HUYO KIMATAIFA ALIPUMZISHWA KWA KADI ZA NJANO NA NYEKUNDU NA YANGA KUONEKANA WATATA HAKUNA MTU ASIYEKUMBUKA!!!!
NGOMA YEYE HUYU ALIOKUWA MTAKATIFU YANGA TAYARI KULE AZAM ALISHAPIGWA KADI NYEKUNDU!!!!!

KWA KIFUPI YANGA WASIPOBADILIKA KUPENDA KUDEKEZWA NA URAHISI WA LIGI YA NYUMBANI KAMWE HAWATAKUWA WAWAKILISHI WAZURI KIMATAIFA ILA SIMBA NA AZAM WANAWEZA KUFANYA VIZURI SANA KIMATAIFA,KANAKAMFUMO NA WACHAMBUZI WENGINE MLIELEWE HILI KUWA WANANCHI WANADEKEZWA!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanakamfumu na mwanzisha mada hii wana haki ya kuamini wanachokiamini kwa mujibu wa Katiba ya nchi hii. Lakini hawapaswi kugawana udhaifu wao wa kuhoji na kufikiri na watu makini wa mtandao makini wa JF. Labda Kanakamfumu na waumini wa makala yake hawakuwa wakijua kwamba:
1. Hakuna timu inayoambiwa ukweli hivi sasa kama Yanga inavyoambiwa na Zahera, tangu wachezaji, wapenzi mpaka viongozi. Nani anadekezwa baina ya Makambo aliyeambiwa ana mambo ya kipuuzi licha ya kuwa anaifungia Yanga magoli na Kichuya aliyeboronga kwa kukosa mabao mia mechi ya Mashujaa lakini ghafla akawa shujaa kwa kufunga mawili mechi iliyofuata?
2. Ni timu gani iliyoshinda mechi nyingi au chache ngumu waamuzi wasilalamikiwe - Liverpool(5) dhidi ya Arsenal (1), Man U enzi za magoli ya dakika za majeruhi, Real Madrid (Sergio Ramos) dhidi ya Liverpool (Salah), Simba dhidi ya Nkana, au ipi? Iweje ajabu kwa Yanga kushinda isilalamikiwe?
3. Msuguano wa sasa wa Yanga na TFF unahusianaje na matokeo yaliyopita ya Yanga kwenye mashindano ya Kimataifa, ambayo ndio mada kuu ya makala yenyewe?
4. Baadhi yetu ndio kwanza tunasoma kwenye makala ya Kanakamfumu ya Yanga kushinda kwa kupindisha Sheria. Labda awe anazungumzia ile rufaa ya timu anayoikweza kwenye makala yake iliyopelekwa FIFA na kuishia kwenye pipa la taka la Ofisi zao huko Zurich. Imetupwa pamoja na takataka nyengine kwa sababu ilkuwa ni takataka sawa na hiyo makala ya Kanakamfumu. Tunachojua kuhusu Sheria kupindishwa ni pale kanuni ya kuchagua mechi ya kukosa kwa mchezaji aliyeoneshwa kadi kutumika kwa timu moja tu hadi leo, na pale timu isiyodekezwa ilipoonekana na uwezo wa kifedha kukatungwa kanuni ya kusajili wachezaji 10 wa kigeni kwenye Ligi licha ya Taasisi na magwiji wote wa mpira nchini kuipinga, na pale ‘wamiliki wa Uwanja wa Taifa’ wanapokataza dakika ya mwisho uwanja wao kutumika usiku mara moja tu wakati vinara wa Ligi wanaodekezwa wakijiandaa kwa muda huo lakini ‘Wamiliki’ hao hao wakarejesha tena uwanja wao kuchezewa usiku baada ya mechi hiyo, na pale timu moja ya Ligi ikaruhusiwa kuchezea Viwanja viwili vya nyumbani kwenye msimu mmoja kabla ya kukabiliana na vinara wa Ligi wanaodekezwa kwa sababu tu wana kosa washabiki kwenye uwanja ulioko kwenye Jiji iliyopo timu yao.
Inashangaza sana kwa mtu anayedhaniwa kuwa ni mchambuzi wa mpira kwa sababu ya kuwahi kuwa mwalimu wa mpira anapoiita timu inayoongoza Ligi kuwa ni mbovu, ilhali imekiuka vigezo vyote vya ubovu wa timu. Labda akili yake imebadilika tangu kuwa mchambuzi na kwamba sasa hivi ubora wa timu haupimwi tena kwa mpangilio wa idadi ya mechi za kushinda. idadi ya mechi zilizotoshana nguvu, idadi ya magoli ya kufunga, uchache wa magoli ya kufungwa na badala yake sasa ubora wa timu unapimwa kwa utaratibu wa mapenzi ya mtu kwa timu, majina ya wachezaji waliosajiliwa, utajiri wa anayegharimia timu na utashi wa nani awe bora.
Ni aibu makala kama ya Kanakamfumu hata kuchapishwa, ingawa ana haki ya kutoa mawazo yake. Sijapata kumsikia Ali Mayai, licha ya kujulikana kuwa ni Yanga damu, akaikosoa Simba kwa visingizio vya ajabu kama hivi vya Kanakamfumu dhidi ya Yanga. Wanaomfahamu wawache kufanya kile anachosingizia Yanga wanafanyiwa, kumdekesha!
 
Back
Top Bottom