KANAKAMFUMU:UKWELI MCHUNGU KUHUSU YANGA

KANAKAMFUMU:UKWELI MCHUNGU KUHUSU YANGA

Uliposema yanga walikataa kuvaa badge nyekundu na TFF walilidhia mpaka vodacom wakaacha udhamini ndipo nasema umekubali kuwa bila yanga hapa tz ligi hainogi kwanini vodacom aache udhamini kwa sababu ya timu moja wakati ligi inakuwa na timu zaidi ya 15

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kuendekeza ujinga tu usio na maana sasa yanga alikataa badge ya kampuni ambayo brand color yake ni nyekundu na TFF wakaacha huo ujinga ufanyike siku atakuja kufanya mwingine sababu fulani kafanya si tutakuwa tunaoneka wapumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mpira tu Yanga hakuna wanarukaruka tu uwanjani,kifupi hakuna timu pale
 
Mengine nawaachia nyie ila lile la kukataa kuvaa badge ya vodacom kisa ina rangi nyekundu na TFF ikawaridhia ni jambo la kipumbavu kuwai kufanywa na ndio jambo lililomfanya vodacom kuiachia ligi,kupitia lile tukio nimeacha kufuatilia mpira wa nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeacha kufuatilia mpira Wa nyumbani halafu hapa unaongelea habari za mpira Wa nyumbani!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani katika miaka kumi Simba na Azamu hawajashiriki kimataifa? Walifanya mini?
Kama hatakombe LA Spotpesa linatushinda sembuse na huko?
Timu zetu hazipo kiushindani wa muda mrefu, kucheza gem nyingi kwa mwaka hao wachezaji hatuna. Walio wengi atacheza mechi 2 inayokuja hawezi. Mlisema Yanga inabebwa na Malinzi Leo inashinda kwa Karia mnasema inabebwa. Jitafakari usifikiri ikawa bora sana kwa Mawazo yako .Pambaneni.
Umewaambia ukweli. Simba lini imewahi kufika mbali? Hii nafasi waliyofika simba leo ya mafundi mbona Yanga wanafika? Simba wana mdomo I see

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KANAKAMFUMO ANALIA NA YANGA KWA MAFANIKIO YA SIMBA KLABU BINGWA.

MCHAMBUZI KANAKAMFUMO UKIFATILIA GAZETI LA MWANASPORT LA LEO UTAONA UCHAMBUZI WAKE KAMA VILE ANAUMIA KWA NINI SIMBA INAFANYA VIZURI KIMATAIFA KULIKO YANGA NA HITIMISHO LA MANUNG'UNIKO YAKE ANAISHIA NA KICHWA CHAKE CHA HABARI KAMA UNAVYOKISOMA CHINI!!!!

SABABU KUU ZA SIMBA KUWA BORA KIMATAIFA DHIDI YA YANGA.

1-WACHAMBUZI WANAIDEKEZA YANGA HATA KWENYE UBWEGE.
YANGA HATA IKIWA MBOVU HUWA HAIAMBIWI UKWELI ILA KUSHABAKIWA,MFANO HII YA SASA SIO TIMU NZURI LAKINI INATAMKWA NDIO TIMU BORA KULINGANISHA AZAM NA SIMBA.

2-SIMBA BORA IMEFUNGWA NA KUDROO,AZAM BORA IMEDROO NYINGI LAKINI YANGA HAIKO KWENYE UBORA NDIO INAFANYA VIZURI,HII YOTE KUNA MAAMUZI MENGI YA UTATA KWA WAAMUZI!!!
MECHI YA MBEYA VULUGU TUPU,RUVU SHOOTING PENALT NYINGI WAMENYIMWA LAKINI WACHAMBUZI HAWACHAMBUI ILA WANACHAMBUA YANGA HAIFUNGWI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI ZAO KUJIULIZA SANA KAMA KUNA MAKANDO KANDO KATIKA MECHI ZAO!!!SIMBA KOSA DOGO LA MANURA WAMEKUFA KWA PENATI DHIDI YA MBAO!!!

3-SASA HIVI WAKO KATIKA MSUGUANO NA SERIKALI LAKINI WACHAMBUZI WANAISHAMBULIA TFF NA WAKO NA YANGA KISA MANJI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI KUONA SHERIA INASEMAJE!!!!!

4-UBINGWA WALIOFUNGANA POENTI NA SIMBA,SHELIA ZIMEPINDISHWA JAPO KADI ZA NJANO ZIPO LAKINI YANGA KUONA NYARAKA ZIKO WAZI ZINAONYESHA KADI ZIPO WAO WAKAZIKATAA NYARAKA, ETI ZIMECHEZEWA MALINZI AKAWAPA UBINGWA KISHA WAKASHANGILIA UBINGWA WA MAUZAUZA NA KOMBE WAKAPEWA LOTELOTE NA KUJIFURAHISHA KATIKA MAZINGAOMBWE WAKAWA WAWAKILISHI KIMATAIFA,KILICHOTOKEA MNAKIJUA!!!!!

KWA KIFUPI YANGA WANADEKEZWA HAPA NYUMBANI KWA MAMBO MENGI NA NDIO MAANA WENYEWE WANATAMBA WANATAWALA SOKA LA HAPA NYUMBANI,NA NI KWELI NA KWA MTINDO HUU,YANGA WANAPOKWENDA KIMATAIFA WANAJIKUTA WAKO KATIKA ULIMWENGU MPYA WA KUPAMBANA BILA DEKO NA NDIO MAANA HALI YAO KIMATAIFA HUWA MBAYA MNO!!!!

HUKO HAKUNA TFF HUKO NI KUWA NA PESA ZA KUTOSHA,USAJILI IMARA,BENCHI LA UFUNDI BORA NA KUINDAA TIMU HASA, TOFAUTI HAPA HATA UKIWA NA KINA KINDOKI,NINJA,NGASA ALIYECHOKA FRESHI TU!! HUKU MAGZAZETI NA MAREDIO OYA OYA SANA!!!

NGOMA ALIYEKUWA HAPA MTAKATIFU ATAKIWI KUGUSWA NA MABEKI NA UKIMGUSA UNAPEWA KADI, NDIO HUYO KIMATAIFA ALIPUMZISHWA KWA KADI ZA NJANO NA NYEKUNDU NA YANGA KUONEKANA WATATA HAKUNA MTU ASIYEKUMBUKA!!!!
NGOMA YEYE HUYU ALIOKUWA MTAKATIFU YANGA TAYARI KULE AZAM ALISHAPIGWA KADI NYEKUNDU!!!!!

KWA KIFUPI YANGA WASIPOBADILIKA KUPENDA KUDEKEZWA NA URAHISI WA LIGI YA NYUMBANI KAMWE HAWATAKUWA WAWAKILISHI WAZURI KIMATAIFA ILA SIMBA NA AZAM WANAWEZA KUFANYA VIZURI SANA KIMATAIFA,KANAKAMFUMO NA WACHAMBUZI WENGINE MLIELEWE HILI KUWA WANANCHI WANADEKEZWA!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki wa simbaa popote mnapokuwa kama ni mechi huwa sitakagi kukaa na nyie,dakika 2 hamchelewi kuanzisha vurugu. Sijui mnavuta baa..n.gi ya wapi? Sasa simba mnacheza mechi za kimataifa,lakini kutwa mnaiwazia Yanga,jamaniiii...!! Soka la Tanzania halitafika popote ndio maana hata Madagascar tulikuwa mbele yao lakini sasa wanatupita kama mshale. Ona ulivyolia hapo juu,msemaji wenu nae kutwa ni kulia lia kuhusu Yanga tu,mpaka wakawasahau Mashujaaaaaaaaa......!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengine nawaachia nyie ila lile la kukataa kuvaa badge ya vodacom kisa ina rangi nyekundu na TFF ikawaridhia ni jambo la kipumbavu kuwai kufanywa na ndio jambo lililomfanya vodacom kuiachia ligi,kupitia lile tukio nimeacha kufuatilia mpira wa nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga hawajawahi kuwa na akili timamu,mbeleko fc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengine nawaachia nyie ila lile la kukataa kuvaa badge ya vodacom kisa ina rangi nyekundu na TFF ikawaridhia ni jambo la kipumbavu kuwai kufanywa na ndio jambo lililomfanya vodacom kuiachia ligi,kupitia lile tukio nimeacha kufuatilia mpira wa nyumban

i
Tuliza mtori nyama zipo chini kwani zanzibar walipokataa udhamini wa tbl walikosea yanga wana msimamo wao na kama timu ni mdau kwa mdhamini na ligi sioni tatzo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom