Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
Wengine sisi ni Bundi gizani ndio maisha yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine sisi ni Bundi gizani ndio maisha yetu
nadhani wewe sio mgeni wa Yanga hapa nchini? maajabu ni sehemu ya maisha ni kama vile Simba anavyoibeza Yanga kwa kusema mnatuachia kombe la mchangani wakati tiketi ya huko kimataifa mmeipatia kwa kombe hilohilo la mchangani tena baada ya miaka mitano, msalimie KanakamfumoHahaaaah kwa hiyo kuongoza ligi ndo hatua kubwa mliyofikia...maajabu hayataisha duniani hapa
Ndio maana mnaitwa mbumbumbu... Unasema Yanga anashiriki ndondo Tanzania wakati hiyo ndondo pia Simba anashirikiYanga washiriki wa ndondo cup tanzania simba washiriki ligi ya mabingwa hatua ya makundi africa...alafu mshabiki wa Yanga anawaona mashabiki wa simba mbumbumbu...kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu
Kumbe watoto ni wengi sana ...tangu azaliwe hajaona Yanga ikiingia makundi klabu bingwa......Makundi ni hatua ambayo timu chache magwiji ya soka africa huingia baada ya kuzitoa timu pinzani....Hahaaaah eti yanga ndo ilikuwa ya kwanza kuingia kwenye makundi...mi tangu nimezaliwa sijawahi iona yanga imeingia makundi club bingwa africa...or nikumbushe yanga iliingia mwaka gani???tunaongea vitu current mkuu kama unataka historia njoo tukumbushane tu sababu kwenye swala la michuano ya kimataifa africa tukiangalia historia huwezi kufananisha yanga na simba...simba inarecord pana ya kufika mbali zaidi kwenye hii michuano ya kimataifa...tumekwenda makundini sababu tunastahili na tunauwezo wa kusonga
Nimezaliwa 1999 mkuu...enhee ilifika hatua ambayo simba sahivi ndo yupo mwaka gani????