TANZANIA NCHIYANGU
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 633
- 805
Nimezaliwa 1999 mkuu...enhee ilifika hatua ambayo simba sahivi ndo yupo mwaka gani????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimezaliwa 1999 mkuu...enhee ilifika hatua ambayo simba sahivi ndo yupo mwaka gani????
Sasa ndio ukae ukijua kuwa Yanga Bingwa msimu huu hivyo automatically ndio Mwakilishi wako Kimataifa.Umeanza kupiga ramli naona...mwakani mtaenda kwani mmechukua kombe gani linalowapa tiketi ya kushiriki michuano ya kimataifa...hakuna timu iliyopata tiketi yoyote kuiwakilisha nchi mwaka huu so mwakani anaweza kuiwakilisha nchi yoyote awe azam,mtigwa,lipuli etc na anaweza asiwe simba wala yanga so punguza ramli kwenye mpira mkuu
Na wewe kaa ukijua Ndanda ndo bingwa mwaka huu na ndo mwakilishi wako kimataifa...kila mtu anaruhusiwa kupiga ramli zakeSasa ndio ukae ukijua kuwa Yanga Bingwa msimu huu hivyo automatically ndio Mwakilishi wako Kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
**** **** WEWE NALUDIA TENA **** WEWE NYINYI MIAKA YA NYUMA SIMBA MMEFANYA NINI KIMATAIFA?KANAKAMFUMO ANALIA NA YANGA KWA MAFANIKIO YA SIMBA KLABU BINGWA.
MCHAMBUZI KANAKAMFUMO UKIFATILIA GAZETI LA MWANASPORT LA LEO UTAONA UCHAMBUZI WAKE KAMA VILE ANAUMIA KWA NINI SIMBA INAFANYA VIZURI KIMATAIFA KULIKO YANGA NA HITIMISHO LA MANUNG'UNIKO YAKE ANAISHIA NA KICHWA CHAKE CHA HABARI KAMA UNAVYOKISOMA CHINI!!!!
SABABU KUU ZA SIMBA KUWA BORA KIMATAIFA DHIDI YA YANGA.
1-WACHAMBUZI WANAIDEKEZA YANGA HATA KWENYE UBWEGE.
YANGA HATA IKIWA MBOVU HUWA HAIAMBIWI UKWELI ILA KUSHABAKIWA,MFANO HII YA SASA SIO TIMU NZURI LAKINI INATAMKWA NDIO TIMU BORA KULINGANISHA AZAM NA SIMBA.
2-SIMBA BORA IMEFUNGWA NA KUDROO,AZAM BORA IMEDROO NYINGI LAKINI YANGA HAIKO KWENYE UBORA NDIO INAFANYA VIZURI,HII YOTE KUNA MAAMUZI MENGI YA UTATA KWA WAAMUZI!!!
MECHI YA MBEYA VULUGU TUPU,RUVU SHOOTING PENALT NYINGI WAMENYIMWA LAKINI WACHAMBUZI HAWACHAMBUI ILA WANACHAMBUA YANGA HAIFUNGWI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI ZAO KUJIULIZA SANA KAMA KUNA MAKANDO KANDO KATIKA MECHI ZAO!!!SIMBA KOSA DOGO LA MANURA WAMEKUFA KWA PENATI DHIDI YA MBAO!!!
3-SASA HIVI WAKO KATIKA MSUGUANO NA SERIKALI LAKINI WACHAMBUZI WANAISHAMBULIA TFF NA WAKO NA YANGA KISA MANJI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI KUONA SHERIA INASEMAJE!!!!!
4-UBINGWA WALIOFUNGANA POENTI NA SIMBA,SHELIA ZIMEPINDISHWA JAPO KADI ZA NJANO ZIPO LAKINI YANGA KUONA NYARAKA ZIKO WAZI ZINAONYESHA KADI ZIPO WAO WAKAZIKATAA NYARAKA, ETI ZIMECHEZEWA MALINZI AKAWAPA UBINGWA KISHA WAKASHANGILIA UBINGWA WA MAUZAUZA NA KOMBE WAKAPEWA LOTELOTE NA KUJIFURAHISHA KATIKA MAZINGAOMBWE WAKAWA WAWAKILISHI KIMATAIFA,KILICHOTOKEA MNAKIJUA!!!!!
KWA KIFUPI YANGA WANADEKEZWA HAPA NYUMBANI KWA MAMBO MENGI NA NDIO MAANA WENYEWE WANATAMBA WANATAWALA SOKA LA HAPA NYUMBANI,NA NI KWELI NA KWA MTINDO HUU,YANGA WANAPOKWENDA KIMATAIFA WANAJIKUTA WAKO KATIKA ULIMWENGU MPYA WA KUPAMBANA BILA DEKO NA NDIO MAANA HALI YAO KIMATAIFA HUWA MBAYA MNO!!!!
HUKO HAKUNA TFF HUKO NI KUWA NA PESA ZA KUTOSHA,USAJILI IMARA,BENCHI LA UFUNDI BORA NA KUINDAA TIMU HASA, TOFAUTI HAPA HATA UKIWA NA KINA KINDOKI,NINJA,NGASA ALIYECHOKA FRESHI TU!! HUKU MAGZAZETI NA MAREDIO OYA OYA SANA!!!
NGOMA ALIYEKUWA HAPA MTAKATIFU ATAKIWI KUGUSWA NA MABEKI NA UKIMGUSA UNAPEWA KADI, NDIO HUYO KIMATAIFA ALIPUMZISHWA KWA KADI ZA NJANO NA NYEKUNDU NA YANGA KUONEKANA WATATA HAKUNA MTU ASIYEKUMBUKA!!!!
NGOMA YEYE HUYU ALIOKUWA MTAKATIFU YANGA TAYARI KULE AZAM ALISHAPIGWA KADI NYEKUNDU!!!!!
KWA KIFUPI YANGA WASIPOBADILIKA KUPENDA KUDEKEZWA NA URAHISI WA LIGI YA NYUMBANI KAMWE HAWATAKUWA WAWAKILISHI WAZURI KIMATAIFA ILA SIMBA NA AZAM WANAWEZA KUFANYA VIZURI SANA KIMATAIFA,KANAKAMFUMO NA WACHAMBUZI WENGINE MLIELEWE HILI KUWA WANANCHI WANADEKEZWA!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanakamfumu kafundisha timu gani na kwa mafanikio gani? asije akawa ni mwana simba anayeleta propaganda za kutushusha chini tulipofikia, Zahera kazia hapo hapo wataelewa tu kuwa yanga mbele daima nyuma mwiko
RubbishKANAKAMFUMO ANALIA NA YANGA KWA MAFANIKIO YA SIMBA KLABU BINGWA.
MCHAMBUZI KANAKAMFUMO UKIFATILIA GAZETI LA MWANASPORT LA LEO UTAONA UCHAMBUZI WAKE KAMA VILE ANAUMIA KWA NINI SIMBA INAFANYA VIZURI KIMATAIFA KULIKO YANGA NA HITIMISHO LA MANUNG'UNIKO YAKE ANAISHIA NA KICHWA CHAKE CHA HABARI KAMA UNAVYOKISOMA CHINI!!!!
SABABU KUU ZA SIMBA KUWA BORA KIMATAIFA DHIDI YA YANGA.
1-WACHAMBUZI WANAIDEKEZA YANGA HATA KWENYE UBWEGE.
YANGA HATA IKIWA MBOVU HUWA HAIAMBIWI UKWELI ILA KUSHABAKIWA,MFANO HII YA SASA SIO TIMU NZURI LAKINI INATAMKWA NDIO TIMU BORA KULINGANISHA AZAM NA SIMBA.
2-SIMBA BORA IMEFUNGWA NA KUDROO,AZAM BORA IMEDROO NYINGI LAKINI YANGA HAIKO KWENYE UBORA NDIO INAFANYA VIZURI,HII YOTE KUNA MAAMUZI MENGI YA UTATA KWA WAAMUZI!!!
MECHI YA MBEYA VULUGU TUPU,RUVU SHOOTING PENALT NYINGI WAMENYIMWA LAKINI WACHAMBUZI HAWACHAMBUI ILA WANACHAMBUA YANGA HAIFUNGWI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI ZAO KUJIULIZA SANA KAMA KUNA MAKANDO KANDO KATIKA MECHI ZAO!!!SIMBA KOSA DOGO LA MANURA WAMEKUFA KWA PENATI DHIDI YA MBAO!!!
3-SASA HIVI WAKO KATIKA MSUGUANO NA SERIKALI LAKINI WACHAMBUZI WANAISHAMBULIA TFF NA WAKO NA YANGA KISA MANJI WALA HAWATAKI KURUHUSU AKILI KUONA SHERIA INASEMAJE!!!!!
4-UBINGWA WALIOFUNGANA POENTI NA SIMBA,SHELIA ZIMEPINDISHWA JAPO KADI ZA NJANO ZIPO LAKINI YANGA KUONA NYARAKA ZIKO WAZI ZINAONYESHA KADI ZIPO WAO WAKAZIKATAA NYARAKA, ETI ZIMECHEZEWA MALINZI AKAWAPA UBINGWA KISHA WAKASHANGILIA UBINGWA WA MAUZAUZA NA KOMBE WAKAPEWA LOTELOTE NA KUJIFURAHISHA KATIKA MAZINGAOMBWE WAKAWA WAWAKILISHI KIMATAIFA,KILICHOTOKEA MNAKIJUA!!!!!
KWA KIFUPI YANGA WANADEKEZWA HAPA NYUMBANI KWA MAMBO MENGI NA NDIO MAANA WENYEWE WANATAMBA WANATAWALA SOKA LA HAPA NYUMBANI,NA NI KWELI NA KWA MTINDO HUU,YANGA WANAPOKWENDA KIMATAIFA WANAJIKUTA WAKO KATIKA ULIMWENGU MPYA WA KUPAMBANA BILA DEKO NA NDIO MAANA HALI YAO KIMATAIFA HUWA MBAYA MNO!!!!
HUKO HAKUNA TFF HUKO NI KUWA NA PESA ZA KUTOSHA,USAJILI IMARA,BENCHI LA UFUNDI BORA NA KUINDAA TIMU HASA, TOFAUTI HAPA HATA UKIWA NA KINA KINDOKI,NINJA,NGASA ALIYECHOKA FRESHI TU!! HUKU MAGZAZETI NA MAREDIO OYA OYA SANA!!!
NGOMA ALIYEKUWA HAPA MTAKATIFU ATAKIWI KUGUSWA NA MABEKI NA UKIMGUSA UNAPEWA KADI, NDIO HUYO KIMATAIFA ALIPUMZISHWA KWA KADI ZA NJANO NA NYEKUNDU NA YANGA KUONEKANA WATATA HAKUNA MTU ASIYEKUMBUKA!!!!
NGOMA YEYE HUYU ALIOKUWA MTAKATIFU YANGA TAYARI KULE AZAM ALISHAPIGWA KADI NYEKUNDU!!!!!
KWA KIFUPI YANGA WASIPOBADILIKA KUPENDA KUDEKEZWA NA URAHISI WA LIGI YA NYUMBANI KAMWE HAWATAKUWA WAWAKILISHI WAZURI KIMATAIFA ILA SIMBA NA AZAM WANAWEZA KUFANYA VIZURI SANA KIMATAIFA,KANAKAMFUMO NA WACHAMBUZI WENGINE MLIELEWE HILI KUWA WANANCHI WANADEKEZWA!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah okay ni vema. Yaani tena wewe ulipaswa tukuite Yanga manake mwaka ulozaliwa ndio mwaka ambao Yanga ilicheza kwa Mara ya kwanza kwenye makundi ya haya mashindano na ikaishia kwenye hiyo hatua.Nimezaliwa 1999 mkuu...enhee ilifika hatua ambayo simba sahivi ndo yupo mwaka gani????
Tupe rekodi ya Mambumbumbu wa Kariakoo KimataifaTuache unafiki wa ushabiki, tuongee ukweli tu. Kwenye soka la kimataifa katika timu zetu hizi mbili kubwa (Simba na 'Wagogo wa Jangwani' Yanga), hawa 'Wagogo wa Jangwani' ndiyo timu pekee isiyofanya vizuri kimataifa, haina rekodi nzuri kama ya Simba hata siku moja. Kila mwaka wao ni jamvi la wageni ila cha kusikitisha wanajiita wa kimataifa wakati hawana lolote. Simba inaogopewa na waarab kwani wana sifa nzuri kuzifunga hizo timu ila Wagogo wa Jangwani (omba omba Yanga) hawana hiyo sifa. Tusibishane kijinga, hata Mungu wa 'Wagogo wa Jangwani', Mze Akilimali analijua hili.
Ok..nikurekebishe tu mkuu ulikuwa ni mwaka 1998 ndo mara ya mwisho Yanga kuishia kwenye hatua ya makundi kwenye haya mashindano...hata tukifanya 1999......2008-1999=19,sasa mnamiaka 19 hamjawahi kufika kwenye hii hatua aliyofika simba but nyii kila cku hamuwazi mnafanyaje kuiboresha timu yenu but mnachowaza nyinyi ni muiombee simba ichemke ili mfurahi...yaani mmekuwa roho mbaya fc kama wachawi vile😂😂😂😂mnataka wote tukose ndo furaha yenuAaah okay ni vema. Yaani tena wewe ulipaswa tukuite Yanga manake mwaka ulozaliwa ndio mwaka ambao Yanga ilicheza kwa Mara ya kwanza kwenye makundi ya haya mashindano na ikaishia kwenye hiyo hatua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Washawahi fika fainali Caf..vipi nyi mshawahi fika???
Vipi ndugu hebu tafakari kwa sekunde 10 hivi unipe jibu kama ushawahi iombea yanga mema.Ok..nikurekebishe tu mkuu ulikuwa ni mwaka 1998 ndo mara ya mwisho Yanga kuishia kwenye hatua ya makundi kwenye haya mashindano...hata tukifanya 1999......2008-1999=19,sasa mnamiaka 19 hamjawahi kufika kwenye hii hatua aliyofika simba but nyii kila cku hamuwazi mnafanyaje kuiboresha timu yenu but mnachowaza nyinyi ni muiombee simba ichemke ili mfurahi...yaani mmekuwa roho mbaya fc kama wachawi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnataka wote tukose ndo furaha yenu
Ndio siku hiyo Rais Wa nchi kwa wakati ule akasema Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu ati!? Simba Nyie ndio mmetulaani kabisa mana hadi Leo tumeendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu tu. Mtubu ili tuokoke tutoke kwenye kuwa kichwa cha mwendawazimuWashawahi fika fainali Caf..vipi nyi mshawahi fika???