pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Zanzibar chama cha soka ndicho kilichokataa sio timu lakini ni moja ya jambo la kijinga pia sio jambo la kutetea
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri kama umeacha sababu hujalazimishwa ni maamuzi yako hongera wacha sisi tuendelee kupendelewa..Mengine nawaachia nyie ila lile la kukataa kuvaa badge ya vodacom kisa ina rangi nyekundu na TFF ikawaridhia ni jambo la kipumbavu kuwai kufanywa na ndio jambo lililomfanya vodacom kuiachia ligi,kupitia lile tukio nimeacha kufuatilia mpira wa nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Safari njema tuVizuri kama umeacha sababu hujalazimishwa ni maamuzi yako hongera wacha sisi tuendelee kupendelewa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlikuwa mnampakazia na kumpa shutuma Malinzi kuwa anaibeba Yanga,sasa hivi Viongozi wote wa TFF ni Simba na bado mnalialia,kweli nyie ni Mambumbumbu.
Hahaaaah kwa hiyo kuongoza ligi ndo hatua kubwa mliyofikia...maajabu hayataisha duniani hapaKanakamfumu kafundisha timu gani na kwa mafanikio gani? asije akawa ni mwana simba anayeleta propaganda za kutushusha chini tulipofikia, Zahera kazia hapo hapo wataelewa tu kuwa yanga mbele daima nyuma mwiko
Yanga washiriki wa ndondo cup tanzania simba washiriki ligi ya mabingwa hatua ya makundi africa...alafu mshabiki wa Yanga anawaona mashabiki wa simba mbumbumbu...kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tuMlikuwa mnampakazia na kumpa shutuma Malinzi kuwa anaibeba Yanga,sasa hivi Viongozi wote wa TFF ni Simba na bado mnalialia,kweli nyie ni Mambumbumbu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliotanuliwa wako hatua ya makundi Club bingwa africa..wasiotanuliwa nawenyewe wapo hatua ya magroup ya whatsaap ndondo cup tanzaniaSimbarutty a.k.a tundu FC. Rage alisema hawa ni mbumbumbu FC, Manara alisema washabiki Wa Simba hawajui mpira, Rais Wa nchi alishasema Hawa wenzetu wameshatobolewa tundu,kwa hiyo ukiona wanalia hovyo ujue tundu linazidi kutanuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga anaongoza ligi...simba amefuzu hatua ya makundi club bingwa africa..sasa sjui hapo nani anamafanikio na nani anamwonea wivu mwenzieKanakamfumo usimsingizie mkuu.
Hiyo ni taathimini yako na kwani mnateseka na yanga kuongoza ligi?? Au yanga kubeba kombe jumlajumla kumbe roho zinawauma? Punguzeni jaziba.
Yanga sio timu nzuri wala haichezi vizuri lakini point Tatu inachukua.
Unaukumbuka ubingwa wa leister city mkuu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Makundi ni nini ndugu? Yanga ndio ilikuwa ya kwanza kuingia huko makundini. Suala ni umekwenda makundi una uwezo Wa kusonga au kuishia hapohapo halafu urudi utuambie ulikuwa makundini?Waliotanuliwa wako hatua ya makundi Club bingwa africa..wasiotanuliwa nawenyewe wapo hatua ya magroup ya whatsaap ndondo cup tanzania
Acha uongo na upashkuna Voda mkataba wao umeisha hawajataka kuongezaMengine nawaachia nyie ila lile la kukataa kuvaa badge ya vodacom kisa ina rangi nyekundu na TFF ikawaridhia ni jambo la kipumbavu kuwai kufanywa na ndio jambo lililomfanya vodacom kuiachia ligi,kupitia lile tukio nimeacha kufuatilia mpira wa nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilivyoona Simbarutty anapewa viporo kama vitano hivi nikajua hapa tff wako kaziniMii nilipoona timu inapangiwa ratiba mechi 100 Uwanja wa Nyumbani..... nikajua tayari.... nikaenda zangu kumshabikia Mwalubadu na Mau Fundi lkn sio huu utumbo wa soka letu!
Hii inaitwa zamu kwa zamu,Mwakani na misimu mingine mitatu mbele mtakuwa wa mchangani kama kawaida yenu na Sisi tutarudi kwenye nafasi yetu ya Kimataifa tuliyoizoea.Yanga washiriki wa ndondo cup tanzania simba washiriki ligi ya mabingwa hatua ya makundi africa...alafu mshabiki wa Yanga anawaona mashabiki wa simba mbumbumbu...kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu
Wazee wa kulia lia kila neno mmeongea khs Yanga msimu lkn ndio kwanzaaa maneno Wananchi wanasonga,mlianza wanacheza dar tu ngoja waende mikoani,now mnalalamikia hadi michango tunayochanganya wenyewe kwa mapenzi yetu na timu,acheni kulia lia mbu3Hata mpira tu Yanga hakuna wanarukaruka tu uwanjani,kifupi hakuna timu pale
Makundi ni hatua ambayo timu chache magwiji ya soka africa huingia baada ya kuzitoa timu pinzani....Hahaaaah eti yanga ndo ilikuwa ya kwanza kuingia kwenye makundi...mi tangu nimezaliwa sijawahi iona yanga imeingia makundi club bingwa africa...or nikumbushe yanga iliingia mwaka gani???tunaongea vitu current mkuu kama unataka historia njoo tukumbushane tu sababu kwenye swala la michuano ya kimataifa africa tukiangalia historia huwezi kufananisha yanga na simba...simba inarecord pana ya kufika mbali zaidi kwenye hii michuano ya kimataifa...tumekwenda makundini sababu tunastahili na tunauwezo wa kusongaMakundi ni nini ndugu? Yanga ndio ilikuwa ya kwanza kuingia huko makundini. Suala ni umekwenda makundi una uwezo Wa kusonga au kuishia hapohapo halafu urudi utuambie ulikuwa makundini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umezaliwa mwaka tisini na ngapi?Makundi ni hatua ambayo timu chache magwiji ya soka africa huingia baada ya kuzitoa timu pinzani....Hahaaaah eti yanga ndo ilikuwa ya kwanza kuingia kwenye makundi...mi tangu nimezaliwa sijawahi iona yanga imeingia makundi club bingwa africa...or nikumbushe yanga iliingia mwaka gani???tunaongea vitu current mkuu kama unataka historia njoo tukumbushane tu sababu kwenye swala la michuano ya kimataifa africa tukiangalia historia huwezi kufananisha yanga na simba...simba inarecord pana ya kufika mbali zaidi kwenye hii michuano ya kimataifa...tumekwenda makundini sababu tunastahili na tunauwezo wa kusonga
Umeanza kupiga ramli naona...mwakani mtaenda kwani mmechukua kombe gani linalowapa tiketi ya kushiriki michuano ya kimataifa...hakuna timu iliyopata tiketi yoyote kuiwakilisha nchi mwaka huu so mwakani anaweza kuiwakilisha nchi yoyote awe azam,mtigwa,lipuli etc na anaweza asiwe simba wala yanga so punguza ramli kwenye mpira mkuuHii inaitwa zamu kwa zamu,Mwakani na misimu mingine mitatu mbele mtakuwa wa mchangani kama kawaida yenu na Sisi tutarudi kwenye nafasi yetu ya Kimataifa tuliyoizoea.
Sent using Jamii Forums mobile app