KANAKAMFUMU:UKWELI MCHUNGU KUHUSU YANGA

Hahaaaah kwa hiyo kuongoza ligi ndo hatua kubwa mliyofikia...maajabu hayataisha duniani hapa
nadhani wewe sio mgeni wa Yanga hapa nchini? maajabu ni sehemu ya maisha ni kama vile Simba anavyoibeza Yanga kwa kusema mnatuachia kombe la mchangani wakati tiketi ya huko kimataifa mmeipatia kwa kombe hilohilo la mchangani tena baada ya miaka mitano, msalimie Kanakamfumo
 
Yanga washiriki wa ndondo cup tanzania simba washiriki ligi ya mabingwa hatua ya makundi africa...alafu mshabiki wa Yanga anawaona mashabiki wa simba mbumbumbu...kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu
Ndio maana mnaitwa mbumbumbu... Unasema Yanga anashiriki ndondo Tanzania wakati hiyo ndondo pia Simba anashiriki
 
Kumbe watoto ni wengi sana ...tangu azaliwe hajaona Yanga ikiingia makundi klabu bingwa......
 
Kumbe ningesoma na mama yako ungekuwa mwanangu Wa kwanza. Hui huo mwaka ndio Yanga aliingia makundi .. Na ilikuwa zinaenda timu 8 sio kama sasa 16. Uone kipindi kipi kilikuwa kigumu kufuzu.
Nimezaliwa 1999 mkuu...enhee ilifika hatua ambayo simba sahivi ndo yupo mwaka gani????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…