TANZIA Kanali Fabian Massawe, aliyekuwa RC Kagera afariki dunia

Poleni ndugu , jamaa na marafiki.


Taratibu ni zile zila hazijabadilika ,,tuzingatie miongozo ya WHO.
 
Rest in peace massawe,naukumbuka sana utumishi wako,ulikuwa mchapa kazi na mwenye kujituma
Nakukumbuka kwa mengi,ulikuwa mcheshi nakumbuka ulipotutembelea shuleni ukaanza kutupigia hesabu,ulitufanya kama watoto wako,kwakwel nimeumia pole sana familia ya massawe na watanzania kwa ujumla hakika tumempoteza kiongozi
 
Kati ya watu waliokuwa na weredi/professionalism katika kazi zao,
 
Rest in Peace my Head Master
Nakumbuka my suspension ya kumpiga monitor mnoko, ulivyonipelekesha na MP
Nakumbuka Upanga nilikuwa napita mbele ya nyumba kwenda Don Bosco bado niko Primary bila kujua siku moja utakuja kuwa Mwalimu Mkuu wangu.
RIP Colonel.
 

Apumzike kwa amani jenerali Massawe.

Kuna mijamaa iko macho kodo kuona kama kuna watakaosema ni kale ka ugonjwa ambako kwetu tunadanganyana hakapo.

Jamani eeh, siyo kenyewe!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
nakumbuka nilipoanza form1 1995 mzee wangu alilipa ada mwaka uliofuata 1996 sikulipa ada mpaka namaliza shule kwasababu tu Mr masawe aligundua nina kipaji cha kucheza basketball huyy mzee aliibua vipaj vingi na amesaidia wengi kutimiza ndoto zao,Jitegemee ilishehen kila aina ya wanamichezo kuanzia mpira wa miguu,maigizo,ngoma mpaka masumbwi...hawa ni baadhi ya watu maarufu waliolelewa na masawe..Njohole,ally mayai,eddo Kumwembe,solo thang,soggy doggy,Bad gear(.witness,richone,daz mwalimu,DazP,Mh Temba,kajala masanja(basketballer),kisoky,Iddy ligongo,emmanuel Ambrose,chid benz,Gervas kasiga(Director wa movie zote za kanumba na mtunzi wa filamu),wasiwasi mwabulambo(azam tv) etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…