Kanali Lubinga: Uchaguzi Mkuu wa CCM Jimbo la Hai haukuwa huru na wa Haki

Siasa za Tz kwa zama hizi ni uwanja wa maslahi. Ni uwanja wa kuhujumiana, kuwindana, kuviziana, hadaa, rushwa, kujuana na hata kutoana uhai ikibidi.

Uwanja huu umegeuka 'wa fujo' maana umevamiwa na wahuni na wasaka ulaji na unafuu wa kufanya mambo yao.Sasa chaguzi zimegeuka pambano kabambe la 'kufa au kupona' lengo ni kufukuzia ulaji.Utadhani mahawani wanaonyukana kufukuzia malisho
 
Mimi ni muumini wa haki .
Ninashauri mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro kupiga kambi jimbo la Hai huko Kilimanharo kwani uchaguzi mkuu wa ccm uliofanyika huko haukuwa huru wala wenye haki.
Jimbo limegawanyika na wanachama wa ccm wamepoteza uelekeo uliosababishwa na mbunge wa jimbo hilo la kutska kupanga safu ya kuelekea 2025.
Pamoja na yote yaliyotokea hatua muhimu na za haraka zinahitajika ikiwa ni pamoja na :
1. Kufutwa kwa uchaguzi huo mkuu
2. Kuondolewa kazini kwa katibu wa ccm wilaya
2. Kuhamishwa kituo cha kazi kstibu wa UWT wilaya hiyo
3. Madiwani wa viti maalum kutokuruhusiwa kugombea tena kwa kusababisha wizi wa kura na vurugu za uchaguzi mkuu
4. Mbunge kupigwa marufuku kujihusisha na shughuli za uchaguzi wa chama wa marudio
5. Katibu wa vijana na wazazibwilaya kupangiwa vituo vingine vya kazi
6. Uongozi wa ccm mkoa kusimsmua zoezi la upigaji kura na shughuli zote za upigaji kura
7. Wagombea walioshinda na kushindwa kwenye uchaguxi huo kuhojiwa na kupata maoni yao.

Mama samia anataka haki itumike kinyume na alichokifanya mbunge wa Hai kubaka uchaguzi mkuu wa chsma na kukivuruga chama.
Mugambo wanaruka na kukanyagana.........hiiii wanachekaaa,! Jnature
 
Siasa za Tz kwa zama hizi ni uwanja wa maslahi.Ni uwanja wa kuhujumiana,kuwindana,kuviziana,hadaa,rushwa,kujuana na hata kutoana uhai ikibidi.Uwanja huu umegeuka 'wa fujo' maana umevamiwa na wahuni na wasaka ulaji na unafuu wa kufanya mambo yao.Sasa chaguzi zimegeuka pambano kabambe la 'kufa au kupona' lengo ni kufukuzia ulaji.Utadhani mahawani wanaonyukana kufukuzia malisho
Maccm ni noma
 
Mimi ni muumini wa haki .
Ninashauri mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro kupiga kambi jimbo la Hai huko Kilimanharo kwani uchaguzi mkuu wa ccm uliofanyika huko haukuwa huru wala wenye haki.
Jimbo limegawanyika na wanachama wa ccm wamepoteza uelekeo uliosababishwa na mbunge wa jimbo hilo la kutska kupanga safu ya kuelekea 2025.
Pamoja na yote yaliyotokea hatua muhimu na za haraka zinahitajika ikiwa ni pamoja na :
1. Kufutwa kwa uchaguzi huo mkuu
2. Kuondolewa kazini kwa katibu wa ccm wilaya
2. Kuhamishwa kituo cha kazi kstibu wa UWT wilaya hiyo
3. Madiwani wa viti maalum kutokuruhusiwa kugombea tena kwa kusababisha wizi wa kura na vurugu za uchaguzi mkuu
4. Mbunge kupigwa marufuku kujihusisha na shughuli za uchaguzi wa chama wa marudio
5. Katibu wa vijana na wazazibwilaya kupangiwa vituo vingine vya kazi
6. Uongozi wa ccm mkoa kusimsmua zoezi la upigaji kura na shughuli zote za upigaji kura
7. Wagombea walioshinda na kushindwa kwenye uchaguxi huo kuhojiwa na kupata maoni yao.

Mama samia anataka haki itumike kinyume na alichokifanya mbunge wa Hai kubaka uchaguzi mkuu wa chsma na kukivuruga chama.
Baba panyarodi na mtoto amerithi upanyarodi, menyewe kwa menyewe.
 
Sijaona akisema TAKUKURU iwakamate waliotoa rushwa na kuiba kura.
 
Mafua,Mafua mbunge wa mchongo.Babako Jiwe hayupo tena
 
Post zako zote ni majungu majungu tu, hunaga issues yaani wewe muda wote unaongelea watu tena kwa chuki tu.
Unafanya jukwaa linaloheshimika watu waapuze kusoma. You are too mean, too childish and irretional at all.
Hata unavyoandika huna utulivu na bando lako unalitumiaje kwa udaku udaku. Shame kabisa
Wizi mkubwa wa kura na wengi wamekupania

Back
Top Bottom