Kanali Lubinga: Uchaguzi Mkuu wa CCM Jimbo la Hai haukuwa huru na wa Haki

Siasa za Tz kwa zama hizi ni uwanja wa maslahi. Ni uwanja wa kuhujumiana, kuwindana, kuviziana, hadaa, rushwa, kujuana na hata kutoana uhai ikibidi.

Uwanja huu umegeuka 'wa fujo' maana umevamiwa na wahuni na wasaka ulaji na unafuu wa kufanya mambo yao.Sasa chaguzi zimegeuka pambano kabambe la 'kufa au kupona' lengo ni kufukuzia ulaji.Utadhani mahawani wanaonyukana kufukuzia malisho
 
Mugambo wanaruka na kukanyagana.........hiiii wanachekaaa,! Jnature
 
Maccm ni noma
 
Baba panyarodi na mtoto amerithi upanyarodi, menyewe kwa menyewe.
 
Sijaona akisema TAKUKURU iwakamate waliotoa rushwa na kuiba kura.
 
Mafua,Mafua mbunge wa mchongo.Babako Jiwe hayupo tena
 
Wizi mkubwa wa kura na wengi wamekupania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…