Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

hapo haikwepeki

Ndio jiwe awe anashauriwa sasa kuwa vyeo jeshini havigawiwi kiholela holela sasa huyo dogo miaka hajafika hata thelathini ila ana cheo cha kepteni inamaana ataanza kuvaa vijogoo umri mdogo kabisa
Huwezi kufika ukanali kama hujatumikia jeshi walau 20yrs
Huyo dogo atasota sana kwenye umeja
 
Hiyo kawaida saba jeshini
Huwezi mkuta Kanali ana 35 yrs
Dogo anaweza tusua vizuri tu ila umeja utamkaa sana
Nina anko alikaa sana kwenye ukapteni akaamua kuacha jeshi
Inaumiza sana yaani ye yupo Ukapteni watu wa chini wanapanda halafu wanamuacha hapo kwa nini nisiache kazi
 
Pure wisdom. Salute kwako mkuu,tungekuwa na wababa kama wewe wa kutosha naimani tungepiga hatu.. hii nchi sehemu nyingi zimeharibika kwa kushadharau fatherhood system..
 
Hapa ndio vijana wengi mnafeli kimaisha kwakusoa nidhamu. Maisha ni zaidi ya hivyo vyeo. Kwenye maisha tunawahitaji sana wazee walio tutangulia haijalishi nyadhifa zao.. wale wana hekima zaidi yetu.. endekezeni viburi muone mtacho vuna.. mnasikitisha sana nyie..
 
Achana na huyu kijana hana nidhamu mkuu. Aelewi maisha , na haelewi umuhimu wa hekima ya watu walio mtangulia haijalishi wapo katika ngazi ipi
 
Wanatudharau wanasema tumeishia lasaba hatuna elimu sawa ndio atuna elimu lkn watuheshimu...
Hana hekima huyo. Hata siku moja mtu alie mature huwezi kuta anashindania elimu, na kudhaurau wazee ( senior ) katika field yoyote ile.. kuna hekima hata uwe na dgree mia hutokaa uipate kama huto submit na kuwa humble kwa walio kutangulia
 
Pure wisdom. Salute kwako mkuu,tungekuwa na wababa kama wewe wa kutosha naimani tungepiga hatu.. hii nchi sehemu nyingi zimeharibika kwa kushadharau fatherhood system..
Tatizo wanajiona elimu kubwa lkn awana ufahamu elimu na ufahamu vitu viwili tofauti unaweza ukawa na Elimu kubwa mm na uzee wangu na elimu yangu ya darasa la saba nikawa na ufahamu mkubwa sana wa mambo ilo wao hawajui cheo sio kitu...cheo dhamana tu.
 
Wee acha bana, alopitia Kanali mkisi ni makubwa sana.

Jamaa ilifikia muda mwenyewe akaomba kutolewa uDC , jamaa alirogwa, alikua hawez kutoka hata kitandani.

Jiwe alipoona barua ya jamaa, akaamua kumtoa ,nasababu kubwa yeye akakazia et "Mjeda gan unaomba kutolewa kwa nafasi ulochaguliwa namkuu wako??"...utovu wa nidhamu.


Ila jamaaaa angekua keshasepa nakaburi limemeza, alirogwa akiwa DC
 
Tatizo wanajiona elimu kubwa lkn awana ufahamu elimu na ufahamu vitu viwili tofauti unaweza ukawa na Elimu kubwa mm na uzee wangu na elimu yangu ya darasa la saba nikawa na ufahamu mkubwa sana wa mambo ilo wao hawajui cheo sio kitu...cheo dhamana tu.
Elimu pasipo hekima ni mavi matupu.. ndio hawa vijana wana elimu lakini mavi matupu kichwani na kwenye maisha yao
 
Pole yake

Vyeo vikubwa vina mambo
 
Ebhana eeeh ilikuwa noma eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…