Swala la kusema kuwa wewe ulitangulia jeshini so tukuheshimu hio Haina mantiki ndani ya viunga vya jeshi[emoji1787]
Utapiga saluti kwa kunyooka wima na kwa utii pale afisa uliemzidi umri Mara anapokatiza mbela yako
Ukizingua utapelekwa court matial ukajibu mashtaka kwa kuleta dharau kwa afisa
Kama uliingia jeshini miaka 30 iliyopita na ukashindwa kuwa ofisa hio Ni juu yako unataka maana wengi wenu mmeingia jeshini na cheti Cha la Saba C mnataka kwahiyo usiwalaumu hao vijana wanaokula nyota za fasta fasta hawakucheza darasani they deserve
"Kwa hiyo bwana coplo/saameja hembu pita pale wape wale vijana kazi (unatii na unyooka unapiga saluti unakimbia na mvi zako miaka 54)" [emoji1787][emoji123]
Sent using
Jamii Forums mobile app