Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Askari wa miguu Mtu mwenye V Mbili (a.k.a mbavu Mbili ) anaitwa Koplo na hapa kwetu anavaa beret ya kijani sasa ukienda Askari wa mizinga mtu mwenye V Mbili(a.k.a mbavu Mbili) anaitwa Bombardier na anavaa beret nyeusi so ni vitu viwili tofauti ndio maana hata kofia wanavaa kofia tofauti hazinafanani

The same inakuwa kwa hiyo kesi sababu hao wa 92 kj sio infantry kama ambavyo wenye nyota wengi ni watu wa Infantry

Sasa wewe mtu wa Infantry hata kama una nyota huwezi kumuamrisha Askari wa mizinga so kuna chain tofauti ya utoaji amri hapo

Inakuwa kama mwanajeshi wa jeshi la TZ umuamrishe mwanajeshi wa jeshi la Kenya

cc@T14 Armata
 
Mmmh mmh mmh. Usidanganye!!
 
Ndugu, usidanganye!!
Kuna senior NCO hapo juu alikuwa anamuambia jamaa mmoja kuwa na pamoja na nyota zake sio kila kambi anaweza kwenda akaweza kutoa order mfano hiyo hapo ya 92kj ndio jamaa kwa ID ya T14 armata akauliza inawezaje kuwa hivyo
 
Unalisha watu matango pori [emoji23][emoji23]
 
Huyo jamaa ni muhaya ama?
Hiyo misifa yake pengine ndio inamuharibia Wakubwa zake wakisikia hawatakuwa na hamu ya kumpandisha kwa kuhofia nyodo zake
 
Kudaadeki binadamu ni noma sana.
Jamaa wamemuondoa na mavyeo yake yote amesaliti amri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…