T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana.... Lakini Bakhresa sio mwenzetuHata kwa bakhresa kuna waliopita kwake tena kwa manyanyaso lkn Mungu si Athumani wameingia serikalini na Bakhresa anaenda kupiga magoti kwao ili wampe huduma
Mmmh mmh mmh. Usidanganye!!Askari wa miguu Mtu mwenye V Mbili (a.k.a mbavu Mbili ) anaitwa Koplo na hapa kwetu anavaa beret ya kijani sasa ukienda Askari wa mizinga mtu mwenye V Mbili(a.k.a mbavu Mbili) anaitwa Bombardier na anavaa beret nyeusi so ni vitu viwili tofauti ndio maana hata kofia wanavaa kofia tofauti hazinafanani
The same inakuwa kwa hiyo kesi sababu hao wa 92 kj sio infantry kama ambavyo wenye nyota wengi ni watu wa Infantry
Sasa wewe mtu wa Infantry hata kama una nyota huwezi kumuamrisha Askari wa mizinga so kuna chain tofauti ya utoaji amri hapo
Inakuwa kama mwanajeshi wa jeshi la TZ umuamrishe mwanajeshi wa jeshi la Kenya
cc@T14 Armata
Ndugu, usidanganye!!Ungemjibu
Kuna senior NCO hapo juu alikuwa anamuambia jamaa mmoja kuwa na pamoja na nyota zake sio kila kambi anaweza kwenda akaweza kutoa order mfano hiyo hapo ya 92kj ndio jamaa kwa ID ya T14 armata akauliza inawezaje kuwa hivyoNdugu, usidanganye!!
Weka attachment ya document inayokupa mamlaka ya kutoa maelekezo kwa modsMods, naomba mfute huu uzi!
Weka attachment ya document inayokupa mamlaka ya kutoa maelekezo kwa mods
Alisikika kijana wa kihaya aliyehitimu certificate ya sheria [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1558178
Alisikika kichaa akiwa jalalani
Unalisha watu matango pori [emoji23][emoji23]Askari wa miguu Mtu mwenye V Mbili (a.k.a mbavu Mbili ) anaitwa Koplo na hapa kwetu anavaa beret ya kijani sasa ukienda Askari wa mizinga mtu mwenye V Mbili(a.k.a mbavu Mbili) anaitwa Bombardier na anavaa beret nyeusi so ni vitu viwili tofauti ndio maana hata kofia wanavaa kofia tofauti hazinafanani
The same inakuwa kwa hiyo kesi sababu hao wa 92 kj sio infantry kama ambavyo wenye nyota wengi ni watu wa Infantry
Sasa wewe mtu wa Infantry hata kama una nyota huwezi kumuamrisha Askari wa mizinga so kuna chain tofauti ya utoaji amri hapo
Inakuwa kama mwanajeshi wa jeshi la TZ umuamrishe mwanajeshi wa jeshi la Kenya
cc@T14 Armata
Wanapokea oda kama kawaida, ni askari na utaratibu ni oda tu.Kwanini hawa 92kj hawapokei oda. Ni special forces au nini hasa.
Chabrosy
Sahihi lakini labda alimaanisha kwa ajili ya Ops.Wanapokea oda kama kawaida, ni askari na utaratibu ni oda tu.
Seniority matters
Huyo jamaa ni muhaya ama?Akiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.
Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu,
Mimi na mke wangu tuu kitanda chetu kinalaliwa na degree 4.
Mimi nina pesa..
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee handsome na aliyesoma...
Ukiona gari yangu inapita manzese ujue imeibiwa, toa taarifa,
Nalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo.
Hapo hajazungumzia gari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....
Hahaa anyway ni mtu poa na smart sana, hayo mengine ni mambo binafsi
Kwani kwa kawaida majenerali wanatakiwa kuwa wangapi tanzania nzima?TMA alikuwaga Afande Jeneral masawe cjui now ni mkuu wa chuo cha kunduchi yule sasa ndo Sr yule jamaa kupita wote jeshini...
Kudaadeki binadamu ni noma sana.Kule Inasemekana Alikuwa Mtata Sana, Waha Wakamuonya Akawa Hivyo Hivyo, Mwisho Mambo Yakawa Hayaendi.
Humu Jamiiforums.comIpo Thread Yake Iliyomjadili Mpaka Kuomba Kuondolewa Kasulu
Maana Alikuwa Anapitia Mambo Mengi Sana Magumu
Kulazwa Nje, Kutoka Damu
Kama Unakumbuka Kwenye COVID 19Kudaadeki binadamu ni noma sana.
Jamaa wamemuondoa na mavyeo yake yote amesaliti amri.
Kama Unakumbuka Kwenye COVID 19
Rais Alisema Waganga Waheshimiwe
Ila Uchawi Tu Ndiyo Mbaya!!