Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride


Nimekumbuka alikuwa anajiita "meja msafi" kipindi hicho ana cheo cha meja
 
Naelekwa hayo yote. Ila ukarimu na unyenyekevu ni muhimu haijalishi upoje. Tunawatu kibao chini yetu lakini huwezi amini unapo tukuta nao. Ma vyeo ni ma vitu ya kupita tu, yasikufanye ukakosa utu
Unazingua ww jeshini hata baba ako kama ni askari tu nawewe ni afisa atapiga salute na utampa orders na hana budi kuziheshimu uzazi mkiwa nyumbani

na huyu Chabrosy anataka afisa amuombe anapompa orders kapotea jeshini siku ambayo maafisa wataanza kuomba askari pindi watoapo amri basi hapo hakuna jeshi tena maana msingi wa jeshi ni nidhamu na utii (regardless of age lazima utii amri halali kutoka kwa mkuu wako period)
 
Angalia vita vya idd amini angalia kamanda mwenye elimu ndogo alivyoweza kuwaongoza askari na wapiganaji kuleta ushindi kuliko yule graduate aliepigwa mpaka morali ukaisha

Ukinena weka akiba ya maneno..ukiwa mzee utakumbuka
usilete mambo ya miaka ya sabini hapa. Vita vimebadilika sana kwenye modern warfare morale pekee haitakusaidia vita ni sayansi haswa aina ya vifaa vinavyotumika sasa na technology zinavoenda kasi jeshi lazima li prioritize elimu above anything else lasivyo utakuwa kituko kwenye uwanja wa mapambano siku hizi strategy na technology ndo zinashinda vita sio askari wa miguu wenye morale.
 
Cheo cha mwisho?umesahau Jenerali, Field marshal?
 
Cheo cha mwisho?umesahau Jenerali, Field marshal?

Vyeo vya luteni jenerali na jenerali na kwenda juu ni vyeo vikubwa mno ambavyo 'unaweza sema si original sana kama cheo cha meja jenerali' , hili sio rahisi kwa mtu alie nje ya mfumo wa jeshi kulijua

Kwa leo hii cheo cha meja jenerali 'doesnt see combat' yaani kwa maana ya kwamba anatuma tu watu wanaoenda uwanja wa vita ye hahitajiki sababu Formation ya mwisho kuwa katika theater kwa leo ni Brigade

Sasa hapo unakuwa unaona kabisa Meja jenerali ,Luteni jenerali na jenerali wao wanatuma tu watu kwenye mapambano wao hawahitajiki zaidi ya kutoa amri tu nje ya uwanjani and hence meja jenerali ndio kama cheo cha mwisho kwa career officer
 
hawezi kua ndo kidukulilo huyo?
 
Jiwe bwana dah yaani watu wa form six 2014 washakula ukapteni dah

huyo mdogo wako lazima atafika juu sana kama hajafika hata miaka 30 tayari ni kapteni
Jiwe wengi watamkumbuka. Hata huyu Mkisi atamkumbuka. sijui atamkumbuka kwa lipi , lakini atamkumbuka tuu! Duh..Mzee Jiwe poti wangu endelea kupumzika!
 
Mmmhhh
 
Sio mhaya kweli huyu jamaa? 🤣
 
Nasikia aliachishwa jeshi. I wish Mama amhurumie amrudishe kama aliachishwa kwa figisu. Nasikia alikuwa Kamanda safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…