Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Sio hivyo tatizo ni jingine kabisaMtu wa kuvimba Sana.
Na hiko kitu kitakuwa kilimuharibia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hivyo tatizo ni jingine kabisaMtu wa kuvimba Sana.
Na hiko kitu kitakuwa kilimuharibia
Aliondolewa sorry lakini japo hata mimi sipendi kuandika haya ila ndiyo hivyoKuna wachangiaji hapo wamesema jamaa ameondoka jeshini
Hiyo ni kawaida tu katika maishaMaisha dah kweli jamaa kasotea vyeo kamba inakuja kukatika mwishoni wa hustle
Aliondolewa jeshini baada ya kutaka kuacha au kuamishwa kituo cha kazi ya ukuu wa wilaya kwa sababu ya ugonjwa ikaonekana kama ni utovu wa nidhamuKwa nini aliondolewa jeshini? ,kaka angu aliniambia kuwa aligoma kuwa DC ....basi mkuu akasema ataki kumuona eti
Tatizo ni lipi mkuu kwa huyu headmaster wangu?Sio hivyo tatizo ni jingine kabisa
Akiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.
Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu,
Mimi na mke wangu tuu kitanda chetu kinalaliwa na degree 4.
Nina pesa mbwa haruki,
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee handsome na aliyesoma...
Ukiona gari yangu inapita manzese ujue imeibiwa, toa taarifa,
Nalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo.
Hapo hajazungumzia magari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....
Hahaa anyway ni mtu poa na smart sana, hayo mengine ni mambo binafsi
Unazingua ww jeshini hata baba ako kama ni askari tu nawewe ni afisa atapiga salute na utampa orders na hana budi kuziheshimu uzazi mkiwa nyumbaniNaelekwa hayo yote. Ila ukarimu na unyenyekevu ni muhimu haijalishi upoje. Tunawatu kibao chini yetu lakini huwezi amini unapo tukuta nao. Ma vyeo ni ma vitu ya kupita tu, yasikufanye ukakosa utu
usilete mambo ya miaka ya sabini hapa. Vita vimebadilika sana kwenye modern warfare morale pekee haitakusaidia vita ni sayansi haswa aina ya vifaa vinavyotumika sasa na technology zinavoenda kasi jeshi lazima li prioritize elimu above anything else lasivyo utakuwa kituko kwenye uwanja wa mapambano siku hizi strategy na technology ndo zinashinda vita sio askari wa miguu wenye morale.Angalia vita vya idd amini angalia kamanda mwenye elimu ndogo alivyoweza kuwaongoza askari na wapiganaji kuleta ushindi kuliko yule graduate aliepigwa mpaka morali ukaisha
Ukinena weka akiba ya maneno..ukiwa mzee utakumbuka
Upo usemi kuwa maisha ni kama Gwaride wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho na wa mwisho akawa wa kwanza hii yote inategemea gwaride limeamrishwaje
Wiki tatu zilizopita update ni kuwa Martin Mkisi bado yupo kwenye ukanali tangia mwaka 2015
Tarehe 31 August mwaka 2016 Mbuge alikuwa na cheo cha luteni kanali akiwa CO Ruvu katika tarehe hiyo Mkisi alikuwa ni DC Kasulu akiwa ni kanali Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Ndalichako afunga Mafunzo ya Vijana kwa Mujibu wa sheria Ruvu JKT
DC KASULU NA KAMATI YAKE YA ULINZI NA USALAMA WAFANYA OPERESHENI KUKAMATA MAJANGILI NA WATEKAJI
Yaani kwa kifupi ni kwamba katika Uafisa mkuu jeshini Martin Mkisi ni senior kwa Mbuge ila ndio vile tena maisha Gwaride Mbuge kapandishwa haraka haraka na Mkuu wa kaya jiwe
Leo Mbuge yuko ngazi mbili juu ya Martin Mkisi cha kuumiza zaidi Mkisi na Mbuge walikuwa kituo kimoja cha kazi pale Mgulani huku Mkisi akiwa ni mkubwa wa Mbuge
Mkisi kurudi kuwa mkubwa kwa Mbuge ni kama haiwezekani, possible scenario ni labda Mkisi afike kwenye uluteni jenerali wakati huo Mbuge akishindwa au akichelewa kufika kwenye uluteni jenerali na jeshini techinically cheo cha mwisho ni meja jenerali na hakuna uhakika kama Mkisi atafanikisha angalau kufika kwenye ubrigedia
Cheo cha mwisho?umesahau Jenerali, Field marshal?
hawezi kua ndo kidukulilo huyo?Akiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.
Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu,
Mimi na mke wangu tuu kitanda chetu kinalaliwa na degree 4.
Nina pesa mbwa haruki,
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee handsome na aliyesoma...
Ukiona gari yangu inapita manzese ujue imeibiwa, toa taarifa,
Nalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo.
Hapo hajazungumzia magari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....
Hahaa anyway ni mtu poa na smart sana, hayo mengine ni mambo binafsi
Mambo ni mengiTatizo ni lipi mkuu kwa huyu headmaster wangu?
Jiwe wengi watamkumbuka. Hata huyu Mkisi atamkumbuka. sijui atamkumbuka kwa lipi , lakini atamkumbuka tuu! Duh..Mzee Jiwe poti wangu endelea kupumzika!Jiwe bwana dah yaani watu wa form six 2014 washakula ukapteni dah
huyo mdogo wako lazima atafika juu sana kama hajafika hata miaka 30 tayari ni kapteni
MmmhhhAkiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.
Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu,
Mimi na mke wangu tuu kitanda chetu kinalaliwa na degree 4.
Nina pesa mbwa haruki,
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee handsome na aliyesoma...
Ukiona gari yangu inapita manzese ujue imeibiwa, toa taarifa,
Nalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo.
Hapo hajazungumzia magari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....
Hahaa anyway ni mtu poa na smart sana, hayo mengine ni mambo binafsi
Mkisi Martin ni mzaliwa wa Mkoa wa Songwe (zamani ilikuwa ndani ya mkoa wa Mbeya), Wilaya ya Mbozi, Kijiji cha Msia!Huyo lazima kwao muleba
Sio mhaya kweli huyu jamaa? 🤣amilia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu,