Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Za chini ya kapeti japo sina uhakika sana,ni kuwa Mkisi alishindwa kusuluhisha migogoro mikubwa ya ardhi iliyokua wilaya ya kasulu na badala yake alikua chanzo cha migogoro hiyo kukua.Maana aliwa favor baadhi ya watu kwenye hiyo migogoro,hivyo wale watu walioonewa na Mkisi kwny hiyo migogoro ya ardhi wakamfanyia ushirikina saana Mkisi na ndipo hapo alipoomba aondolewe nafasi ya u DC ili arudi zake jeshini,,inasadikika hivo sina uhakika sana
Na ndomana nikauliza kwann alitolewa U DC uko kigoma why...???
 
Kwenye ngazi za kijeshi zimepigwa sarakasi hapo maana sio fair junior umrushe juu ya seniors labda mabifu au utashi wa Jiwe Ila hamna namna
Hiyo ipo sana tena sio jeshi la wananchi ila majeshi yote

Kutokana na sababu mbalimbali junior anaweza kuruka kumpita senior wala sio mara moja ni mara nyingi na anampita sana tu sio tuvyeo tuwili

Sasa kama senior form four halafu junior graduate inakuwaje?

Labda kama wana sifa sawa hapo tutajiuliza
 
Martin Mkisi mtu poa sana.

Na matatizo ya watu poa, mara nyingine wanafikiria kila mtu ni mtu poa.
 
Mbuge ana elimu kuliko Mkisi?

Mbuge ana akili kuliko Mkisi?
 
Mimi zamani nilikuwa najua kwamba mwanajeshi hawezi kupanda cheo bila nchi husika haipo kwenye vita. Nilijua vita pekee ndo vinaweza kumpatia cheo mwanajeshi.
 
Technology Kasulu Imekuwa Kubwa Sana
Yaani Ulale Ndani Ujikute Nje, Chooni, Damu Hazikati
Halafu Wazee Wa Kiha Wanakutazama
Kuna Dereva Wake Alikatika Mguu!!!
Ebhana eee
 
Kuna kitu kwenye Majeshi yoote na zaidi kwenye usalama wa nji, kuna kitengo kinaitwa Military intelligence, hawa jamaa wana uchambuzi na file ya kila ofisa.
Sasa ikifika wakati wa kupanda ama kuhamishwa kwenda idara nyingine...hawa jamaa hutoa taarifa zako zote!, nyingi hazijulikani peupe. kwa hivyo musione mtu kakaa kwenye kiti kimoja miaka nenda miaka rudi, kuna mambo mambo ambayo hutayajui na hatutayajua!!!!!
 
Hatari sana...
kuna Majamaa unaa ndio wanaona umahiri

utasikia Maafisa wote baba mmoja

mbona kuna maafande walikuwa poa sana wanafuata haki hawana kubagua wenyewe kazi mbele wanapendwa na kila mtu jeshini sababu wao haki bin haki
 
Sasa kwani DMI ndio wanamshauri Rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…